Lord have mercy upon me ila huu ndio ukweli wangu, nikiona watu wazima wanaenda Msikitini au Kanisani huwaga ninawadharau sana

Kuna msemo unasema "Funika kombe mwanaharamu apite"

Kuna vitu kwenye maisha mtu inabidi uvichukulie kama wengine kuepuka Changamoto zinazoepukika.

Hususani vile vinavyo fungamana na Imani. kuna vichaa wanajiita wao Wana itikadi Kali
Ndio maana nimeleta hoja hii jf siwezi kuiongea mtaani najua kuna vichaa wengi ( kuna dini ni ukichaa)
 
Kama wachawi wanakutana. Wanakubarihana... Alafu watu wading wasikutane siyo Kweli....... Kama wewe ulienda Shule Kwa ajiri ya mawazo ya binadamu Na yakakusahidia Katika Maisha...... VIP kuhisu kukutana Na kisima mawazo ya Mungu?
Kwangu Mimi kufunga... Kusali... Na Zaka zimenifanywa kuachiwa vfungo vingi Sana..... Tafuta mwalimu mzuri akufundishe shomo la elimu ya kiroho. Amina
 
Nope sitendi mema kwa sababu ya kuogopa Jehanamu kama wewe. Natenda mema kwa sababu nina utu ndani yangu. I don't need to go to the church or mosque for me to do the good things
Angalia katika hali hii : wewe ni tajiri au una kipawa cha kuzaliwa nacho baadaye unaanza kutesa watu ,ulishadhulumu watu kama ilivyo serikali labda wamepoteza nafsi za watu kutokana na nguvu walizonazo ..Muda huo wanyonge hawana cha kufanya hata kuthubutu ni mateso kwao.

Hao wanaofanyia wenzao hata kama wafe peacefully ila watalipa tu dhulma yao ...Hakuna cha uonevu usiokuwa na majibu.
 
Kama wachawi wanakutana. Wanakubarihana... Alafu watu wading wasikutane siyo Kweli....... Kama wewe ulienda Shule Kwa ajiri ya mawazo ya binadamu Na yakakusahidia Katika Maisha...... VIP kuhisu kukutana Na kisima mawazo ya Mungu?
Kwangu Mimi kufunga... Kusali... Na Zaka zimenifanywa kuachiwa vfungo vingi Sana..... Tafuta mwalimu mzuri akufundishe shomo la elimu ya kiroho. Amina
Hawana hoja hawa ,nilifuatulia Hadzabe nao wanaamini kwenye maisha ya baada ya kifo..

Hizi dhulma zote wanazofanya wanafikiria hawatolipia kwa utashi wao.
 
Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.

Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.

Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.

Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa jehanamu.

Yani naona kama limekatwa kichwa vile.

Hivi kweli Mungu huyu huyu kabisa kabisa alie umba jua mwezi, sayari na galaxy zote, akuumbe wewe mwanadamu akulete duniani kukupa eti mitihani ili baadae ukifeli aende akakuchome milele?

Ndio mmemshusha Mungu kiasi hiki kweli?

Mungu anaweza kufanya mission ya kitoto namna hiyo?

God doesn't do stupid missions ndugu zangu stukeni...

Na hayo ndio madhara ya kumjua Mungu kupitia vitabu vilivyo tungwa na watu.

You can only know God through observation.

You can know the artist by studying his art.

Unaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake.

N. B: ILA KABIASHARA KA DINI NI KA BIASHARA KAZURI NYIE. WALIO KAANZISHA WALIKUWA VERY SMART. YANI NAKUUZIA BIDHAA ( PEPO) ILA. UTAENDA KUTHIBITISHA UFANISI WA BIDHAA HIYO SIKU UTAKAYO KUFA DAH...
Surah Al-Mu’minun (23:99-100) –

"Mpaka mauti yanapomfikia mmoja wao, husema: 'Mola wangu, nirudishe ili nitende mema katika yale niliyoyaacha.' La! Hakika haya ni maneno tu anayoyasema. Na nyuma yao kuna kizuizi (Barzakh) mpaka siku watakapofufuliwa.
"

Umejuaje kama wachawi wanakutana?

Kanisani mnaenda kukutana kwa ajili ya kufanya nini?
 
Hahahaha

U kweli unabaki palepale mkuu.

Kwenda kanisani na msikitini ni Mambo ya kitoto.

Vinginevyo niambie kwanini huwa unaenda msikitini?
Surah At-Tawbah (9:18) –
"Hakika misikiti ya Mwenyezi Mungu huistawisha wale tu wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na wanashika swala, na wanatoa Zaka, na hawaogopi yeyote isipokuwa Mwenyezi Mungu. Basi huenda hao wakawa miongoni mwa walioongoka.

The profundity of your assertions, though steeped in a vehement skepticism, reveals an intellectual dissonance between empirical observation and metaphysical inquiry. Your contention—that the Divine, architect of celestial grandeur, could not possibly orchestrate an eschatological paradigm governed by moral adjudication—rests on the presumption that omnipotence negates intent. However, the very cosmos you invoke as evidence of a supreme artisan is governed by immutable laws, suggesting an intelligence that not only creates but also legislates. To dismiss doctrinal eschatology as puerile while simultaneously venerating the observable universe as the sole testament of the Divine is to engage in selective epistemology, one that privileges material discernment while repudiating the metaphysical dimensions of existence.

Furthermore, the notion that religious institutions operate solely as mercantile enterprises—peddling salvation as an unverifiable commodity—betrays an oversimplification of humanity’s perennial yearning for transcendence. True, history is replete with instances where faith has been wielded as a mechanism for control, but to conflate spiritual pursuit with mere commercial enterprise is to disregard the profound existential inquiries that have animated theological discourse for millennia. Is it not conceivable that revelation and reason are not mutually exclusive? That faith, rather than being an intellectual abdication, might serve as the bridge between the finitude of human cognition and the infinitude of divine reality?

May the Almighty, in His boundless forbearance, truly extend His mercy upon you, for your proclamations, however fervently asserted, betray an abyssal estrangement from the profundities of that which you seek to repudiate. Verily, you articulate not from the wellspring of discernment but from the precipice of presumption, for you know not what you speak🙏
 
Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.

Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.

Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.

Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa jehanamu.

Yani naona kama limekatwa kichwa vile.

Hivi kweli Mungu huyu huyu kabisa kabisa alie umba jua mwezi, sayari na galaxy zote, akuumbe wewe mwanadamu akulete duniani kukupa eti mitihani ili baadae ukifeli aende akakuchome milele?

Ndio mmemshusha Mungu kiasi hiki kweli?

Mungu anaweza kufanya mission ya kitoto namna hiyo?

God doesn't do stupid missions ndugu zangu stukeni...

Na hayo ndio madhara ya kumjua Mungu kupitia vitabu vilivyo tungwa na watu.

You can only know God through observation.

You can know the artist by studying his art.

Unaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake.

N. B: ILA KABIASHARA KA DINI NI KA BIASHARA KAZURI NYIE. WALIO KAANZISHA WALIKUWA VERY SMART. YANI NAKUUZIA BIDHAA ( PEPO) ILA. UTAENDA KUTHIBITISHA UFANISI WA BIDHAA HIYO SIKU UTAKAYO KUFA DAH...
Lakini unaenda kwa mwamposa kwa sababu ni uwanjani au sio
 
Kuna muda huwa nikikaa kwa utulivu natafakari mengi sana kuhusu DINI (Pande zote).

Kwanini kuwe na mgawanyiko wa dini?
Kwanini kuwe na mgawanyiko wa madhehebu?

Na kila aina ya dini waanzilishi si jamii moja.

Na usambazwaji wake Afrika ya Mashariki ni kwasababu ya ujio wa mataifa mbalimbali.
Huwa nafikiri ni approach iliyotumika ili kuaminika, kukubalika na kulainishwa.

Mfano nikichukulia dhehebu langu, lilianza kusambazwa Kenya kama pilot testing, baadaye wakaingia Tanzania kupitia kanda ya ziwa, nafikiri kutokana na wingi wa watu katika jamii ya wasukuma, wakaona watie kambi mikoa ya usukumani na wilaya zake.

Wakaeneza injili na mapokeo yakawa mazuri sana ikiambatana na kuboresha huduma za kijamii (Elimu na Afya).

Ukifikiria sana kwamba labda ni project ya watu, wanasema unakufuru.

Aliyewaza project ya IMANI katika DINI akili yake sio ya kawaida.

Yote kwa yote, tuamini yupo ili siku ikiwa tofauti basi tusiwe na cha kupoteza.
 
Ndio maana nimeleta hoja hii jf siwezi kuiongea mtaani najua kuna vichaa wengi ( kuna dini ni ukichaa)
Unajipa moyo sio
Kama ushaua watu na kudhulumu ww jiandae tu kwa malipo bada ya kufa
 
Mungu mwenye upendo

Mambo ya walawi 25:
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.
46 Nanyi mtawafanya kuwa urithi kwa watoto wenu baada yenu, wawe milki yao; siku zote mtatwaa watumwa wenu katika hao; lakini msitawale kwa nguvu juu ya ndugu zenu, hao wana wa Israeli, wenyewe kwa wenyewe.
Mungu mwenye upendo huyo!!!
 
Mbona serikali Yako hii hii inakusomesha Bure mwishon inakupa vyeti lakini bado ikitaka kukuajiri inakufanyisha mtihani ndo upate kazi.
 
Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.

Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.

Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.

Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa jehanamu.

Yani naona kama limekatwa kichwa vile.

Hivi kweli Mungu huyu huyu kabisa kabisa alie umba jua mwezi, sayari na galaxy zote, akuumbe wewe mwanadamu akulete duniani kukupa eti mitihani ili baadae ukifeli aende akakuchome milele?

Ndio mmemshusha Mungu kiasi hiki kweli?

Mungu anaweza kufanya mission ya kitoto namna hiyo?

God doesn't do stupid missions ndugu zangu stukeni...

Na hayo ndio madhara ya kumjua Mungu kupitia vitabu vilivyo tungwa na watu.

You can only know God through observation.

You can know the artist by studying his art.

Unaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake.

N. B: ILA KABIASHARA KA DINI NI KA BIASHARA KAZURI NYIE. WALIO KAANZISHA WALIKUWA VERY SMART. YANI NAKUUZIA BIDHAA ( PEPO) ILA. UTAENDA KUTHIBITISHA UFANISI WA BIDHAA HIYO SIKU UTAKAYO KUFA DAH...
Thread nzuri kwa siku ya leo kutoka Kwa Gemini.

Nimependa mambo haya kutoka kwenye huu uzi wa Gemini; " God doesn't do stupid missions.I can only know God through observation.I can know the artist by studying his art.Ninaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake;ninajisoma."
 
Maana yako Ni kuwa Mungu yupo lkn sio huyu wa vitabu coz Ni Kama wa vitabu Ni dhaifu ukilinganisha na uumbaji wenyewe.
Sababu hawezi umba mtu Kisha ampe mtihani. Kwa hiyo kumuumba mtu pamoja na kifo unaona ndio sahihi?
 
Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.

Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.

Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.

Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa jehanamu.

Yani naona kama limekatwa kichwa vile.

Hivi kweli Mungu huyu huyu kabisa kabisa alie umba jua mwezi, sayari na galaxy zote, akuumbe wewe mwanadamu akulete duniani kukupa eti mitihani ili baadae ukifeli aende akakuchome milele?

Ndio mmemshusha Mungu kiasi hiki kweli?

Mungu anaweza kufanya mission ya kitoto namna hiyo?

God doesn't do stupid missions ndugu zangu stukeni...

Na hayo ndio madhara ya kumjua Mungu kupitia vitabu vilivyo tungwa na watu.

You can only know God through observation.

You can know the artist by studying his art.

Unaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake.

N. B: ILA KABIASHARA KA DINI NI KA BIASHARA KAZURI NYIE. WALIO KAANZISHA WALIKUWA VERY SMART. YANI NAKUUZIA BIDHAA ( PEPO) ILA. UTAENDA KUTHIBITISHA UFANISI WA BIDHAA HIYO SIKU UTAKAYO KUFA DAH...
Kusema kitu hakipo, kwa, sababu tu hujakiona, sio, sahihi vile vile,
Mungu/super power,kilichotuweka hapa duniani, kipo, things don't just happen, they are created, huwezi, kusema I phone, Vogue, Prado, Airbus, mwendo kasi, zimetokea tu! There is master planer behind, kuhusu nini atatufanya tukifa, ur gues is as good as mine, no body can say for sure, it's matter to decide what to believe,
Mi naamini dini,(Sana Sana, huu ukristo wa kilokole) ni, sawa, na, madawa ya kulevya, hayakuonyi Ila yanatuliza, maumivu ya maumivu ya maisha na kukupa matumaini tu
 
Back
Top Bottom