Lori la mercedes- Benz limebeba caterpilLar

Lori la mercedes- Benz limebeba caterpilLar

Mkuu naona mambo ya ujenzi wa barabara yamekupitia karibu sana . uko sawa kabisa kuwa kwenye barabara unapodesign, unaangalia ukandamizaji wake katika Pascal au N/m.m Sasa ili kuupunguza katika mzigo mzito,unaweka matairi mengi kwenye roli au ndege kama hii Antonov Mriya ya Ukraine.

1_45872001_2012-2-26_21-12-14-522.jpg

Mkuu imaginations za wabongo zinashindwa ku-click kwa vile hawawahi kuona wala kusikia ubebaji wa mizigo mizito sana duniani. Siri ipo katika number of axles (na hayo matairi).Balance ya mzigo huwa unakuwa computer controlled!
 
Usichezee Malori ya Kijerumani ni malori yenye nguvu kupita malori ya aina yoyote ile duniani.

Acha saund mjomba Volvo ana FH series zake kubwa kabisa ina 750Horsepower na scania ana R series 730Hp wakat actros mpya ina 650Hp sasa hzo stor za zaman sana af hilo dumper kama zito saana lina tan 90 na hyo benz actros 3342 ambayo ina 420HP,
Siku tembelea hata zambia hapo utayaona yanatoka sauz af kawaida tu
 
Back
Top Bottom