Lost war in Somalia

There were no single attach from Alshabab before KDF went to Somalia, just few incidences of kidnapping of tourists around the border with Somalia, their aim was to get money, no singer Kenyan was killed by Alshabab. After KDF invasion to Somalia, about thousand Kenyans have lost their lives, with huge number of attacks across Kenya, more so around coast and Nairobi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlipaswa kujua hilo mapema kwamba hamtoweza kushinda kabla ya kupeleka majeshi yenu dhahifu, do you know the meaning of " military intelligence ".

Hapakuwa na sababu yoyote ya msingi kupeleka KDF Somalia eti kwasababu Alshabab walikuwa wanavuka mpaka na kuwateka watalii ndani ya Kenya, kwanini msingepeleka KDF hata nusu ya wanajeshi wote wa KDF wakajenga kambi zao na kuishi katika mpaka wa Somalia.

Kumbuka kwamba, " Maamuzi yako ya Leo, ndiyo yanayoamua maisha yako ya Kesho". Maisha yenu na taabu mnazozipata ni kutokana na poor decision yenu ya past, stop yapping now, eti ingekuwa convention war tungeshinda.... Which conventional war KDF iliwahi kushinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sijui anatetea hiyo move ya Government ya Kenya kwa Lipi?? I guess kwa vile sio hawara wake aliiuwawa ndio maana.
Ni wapi hapo nilipomtetea rais U.Kenyatta? Mimi nawashangaa tu kwasababu hamna ufahamu wa mambo msingi ya mada mnayoijadili. Hamjui KDF iliingia Somalia lini na kwanini, hamfahamu ni nani alikuwa CiC KDF ilipoingia Somalia wala hamjui kilichotangulia kati ya mashambulizi ya alshabaab na KDF kuingia Somalia. Mpo mpo tu, na ujuaji wenu, mmekomalia tu kwenye umbea kama kina mama sokoni.
Unajaribu sana kutetea Uhuru kenyatta ila umesahau kwamba UN walisema FACT: KDF wanaiba makaa ya somalia na kuuza..Ma zazwa hawafahamu nini kiliwapeleka huko na kwa malengo yapi
Alafu zazwa ndio nini?
 

500 or less Kenyans have lost their lives.
50,000 Al shabaab have been killed.
Nobody assumed there will be zero fatalities where a war is involved.

There was one big story months before we sent KDF to Somalia. Pirates had hijacked a ship bringing weapons through Mombasa. It was just one of the many (almost weekly) cases of piracy.
That's an economic war on Kenya, and a bigger reason to attack than any grenade Al Shabaab could have dropped in Kenya.

Unlike the laid back attitude in Tanzania, Kenya is ambitious. That's why we invest heavily in the peace and stability of our neighbors, who eventually become our largest trade partners.
 
They threw themselves into the hell without counting the consequences of the everlasting fire.
 
KEEP YOUR OPINIONS TO YOURSELF FAT PIG... RUDI KWENu TANZANIA KAMA KENYA IMEKUSHINDA.
IF YOUR NATION TZ WAS LED BY SMART AND INTELLIGENT LEADERS YOU WOULD BE THERE ENJOYING THE RESULTS OF GREAT LEADERSHIP... FUCKER
Akiwasifia yeye ni mkenya akiwaambia ukweli yeye sio mkenya. That's ridiculous.
 
dah umeandika maneno ya moyoni tena kwa uchungu saana na hisia kali

pole saana this is dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you have a problem with the Kenyan government and military, write the problem on a piece of paper, fold it, and shove it up your ass.
 
Usinione mjinga. Shabab controls a very small area of Somalia. Tangu Uganda waanze kisha Kenya kufuata, Shabab wanacontrol less than 20% of Somalia. Usiwe mtu wa propaganda za upuzi. Nimekuambia Kismayu na Afmadow pamoja na maeneo mengine yako chini ya Jeshi la Kenya
 
hivi ni kwanini jeshi la tanzania lisiwasaidie hawa wakenya..hawa alshabab watawamaliza...wameshakufa watu almost 500 mpaka sasa.
Usimsaidie asie na nguvu mtapigwa wote.
 
Give evidence for all these statistics you are giving us, till today your government doesn't like to release figures of its solders killed during that terrible and humiliating attack, some say about 609 solders died, who knows. You are investing heavily in security?, hahahahaha which security?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…