Lost war in Somalia

Lost war in Somalia

Hahahahaha! He is a citizen like myself.

Burning and taking whatever we did was just showing you that don't mess with us, if only a small country like Somalia is giving you a lot of trouble then do not you ever mess with us

He is a citizen who was nursing his gunshot injuries in Nairobi. Everyone knows who ordered the hit.

Also, Somalia is not giving us trouble, Al shabab is. They have no address or phone number to reach them.

If Somalia was to give us trouble with their conventional army, we would crash them in one afternoon.
 
Toeni majeshi yenu huko mnataka kula mfupa uliyomshinda mmarekani......
Mkiendelea kukaa huko somalia mtazidi kupata tabu sana
Elewa kuna wasomali wako ndani ya kenya na Nyie mnawaona wafanyabiashara biashara wakubwa kumbe Wana link na magaidi kwao
Kenya mpaka leo mmeshindwa kudhibiti border yenu wasomali wanaingia kenya wanajichanganya na wasomali wenzao hisli hapo wanapanga mikakati yao!
Huu ni ushauri tu

Ova
View attachment 996149

Sent using Jamii Forums mobile app

Out of watu 14 waliokufa jana, karibu 6 walikuwa wakenya wasomali.

There is a difference between Somalis and Kenyan-Somalis.

Alafu, tumekaa huko sasa nadhani miaka kumi. Mashambulizi yamepungua kwa huo muda.
Somalia tutatoka ambapo Al Shabaab itaisha kabisa, ama serikali ya Somalia iwe na uwezo wa kupigana na Al Shabaab.
 
Solution ni hii!
Wakenya na vikosi vyote vya usalama vitoke somalia
Waacheni wasomali hko wauane mpaka nchi yao ibaki tupu
Kwenye kipindi Hicho wasomali wanauwana nchi jirani zote zilinde mipaka yake
Na kama kuna msomali anayeishi kwenye nchi jirani anapiga kelele somalia kutengwa etc
Achukuliwe atupwe hko somalia

Period ....

Hyo ndy dawa iliyobaki

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haa..
Ingawa inaonekana kama ukatili lakini hii ndio dawa ya hawa washenzi al-shabaab makatili kama wanyama wa porini.
 
Why would I spend time console someone aliejitakia matatizo. Hata hapo kariakoo tukiona watu wanapigana tunawaamua Mara moja tu na kama wanaendelea kutunishiana misuli basi na waendelee.

You don't wanna withdraw your army from Somalia?? Go ahead, keep staying lakini msije kutupigia kelele huku kwamba mnakufaaaaa pumbavu kabisa nyinyi

Hakuna aliyempigia kelele. Tanzania has absolutely nothing to do with Somalia. Mnajua tu kuchapa mdomo.

Somalia hatung'atuki. Na hata wakitushambulia tena, Tanzania is the last place tutaenda "kupiga mdomo".
 
Out of watu 14 waliokufa jana, karibu 6 walikuwa wakenya wasomali.

There is a difference between Somalis and Kenyan-Somalis.

Alafu, tumekaa huko sasa nadhani miaka kumi. Mashambulizi yamepungua kwa huo muda.
Somalia tutatoka ambapo Al Shabaab itaisha kabisa, ama serikali ya Somalia iwe na uwezo wa kupigana na Al Shabaab.
Usipende kuamini asili ya mtu
Wengine hawaachi asili bro
75% msomali attitude ni ile ile

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
he is not a Kenyan, he is a Tanzanian living in Kenya, and everyday he prays Kenya falls, and you wonder if his country is so great why is he not living there. ni ujinga tu huwa anasema hapa.
Still you have to respect his opinion
 
Hahahahahaahahah! 99% you are done. And the 1% have the courage to come in Nairobi and kill people. Watu wanatumia ubungo kufikiri wewe unatumia matako

Yes. Al Shabaab had over 50,000 militants.
We have killed majority of them, and many others have reformed or surrendered.
Waliobaki ni kidogo sana na tunawakujia very soon.
 
Out of watu 14 waliokufa jana, karibu 6 walikuwa wakenya wasomali.

There is a difference between Somalis and Kenyan-Somalis.

Alafu, tumekaa huko sasa nadhani miaka kumi. Mashambulizi yamepungua kwa huo muda.
Somalia tutatoka ambapo Al Shabaab itaisha kabisa, ama serikali ya Somalia iwe na uwezo wa kupigana na Al Shabaab.
Na lini itatokea hivyo?
Kuisha kwa Al Shabaab na serikali ya Somalia kuwa na uwezo?
 
Haiwezekani hao alshabab wanaishi wanakula wananunua silaha magari
Etc
Where are they getting that f $$ money,lazima kuna was- - Wana wa fund!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipende kuamini asili ya mtu
Wengine hawaachi asili bro
75% msomali attitude ni ile ile

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Attitude gani?
Mtu alizaliwa Kenya, ameishi Kenya na wengi wao hata hawajawahi toka nje ya borders za Kenya.

Huyo ni Mkenya hata kama sura yake inasema ako na usomali.

Unavyosema ni kama kusema black Americans wako na loyalty kwa Africa badala ya USA.

Alafu kumbuka, 99% ya Wasomali ambao wako Somalia, hawapendi Al Shabaab.
Al shabaab ni maghaidi na walioteseka sana juu ya mashambulizi yao ni Wasomalia.
 
Ndiyo hapo Sasa!
Usiamini sana
Adui yako unaweza shangaa yuko ndani ya nyumba yako
Sisemi wasomali wote wenye asili hapo kenya ila Nna uhakika wapo wanao support makundi hko makwao kimya kimya

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe. Tundu Lissu begs to disagree.
Also, tell your dictator to return the 10,000 innocent Kenyan chicken he burnt. And the 1300 cows he stole from Kenya's maasai.

Ako na tabia za kitoto kama Idi Amin.
Kamshtaki kwan huzijui mahakama wee bwegee nini. Hasira za al shabab unatuletea sisi huku boyaa weewee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi walilipua tz na Kenya that year to the US embassies, so the answer is they were after the US, simple tu, sasa ugomvi wa US na Magaidi nyinyi mmeufungia kibwebwe, kazi kwenu, uhondo wa ngoma uingie uicheze, I think now you understand how the sweet the melody is.

Bro,
these guys don't understand that, the al shabab is like a snake, the head is in Kenya and the tail is in Somalia. It's easy for them to withdraw from Mogadishu and fight effectively in Nairobi. You will see the good thing to happen in Kenya.

CC: https://www.jamiiforums.com/members/pingli-nywee.325777/
 
Kwahiyo wewe unaamini ndio hawajawahi dhamiria kufanya shambulio tz?
Umesahahu Jeshi la Kenya ndo lilianza Ku train wanajeshi wapia wa Somalia 2005, alafu Zamu ya pili ikawa ni Uganda, wakatrain wanajeshi 1000 wa Somalia 2010/11, Ikawa imebaki Zamu ya Tz , ilipotangazwa kwamba Tz ITA train wanajeshi wa Somalia, Deputy leader wa Alshabaab akatoa vitisho vikali kwamba Tz isitubutu kujiingiza Kwa mambo ya Somalia kama vile Kenya na Uganda..... Tokea hio siku Serekali ya Tz haijawahi ongelea hayo maneno tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom