Lotion/cream nzuri kwa bibi harusi mtarajiwa

Ana nyuzi kuhusu product yake humu humu JF na namba yake niliyonayo ni 0769302206. Pia uki Google "Aunt Zainab's Natural Super Clay" utapata habari zake nyingi kwenye mtandao.

Shukrani sana.
 

Asante sana Bi Faiza.

Nimeipenda hii.
 
Tiba ya kwanza,kunywa maji mengi,at least 2.5 litres kwa siku,matunda,mboga za.majan kwa wingi,then changanya parachichi,manjano na glycerin uwe unapaka uson,shngon,mikononi na sehem zngne itakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…