Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Ana nyuzi kuhusu product yake humu humu JF na namba yake niliyonayo ni 0769302206. Pia uki Google "Aunt Zainab's Natural Super Clay" utapata habari zake nyingi kwenye mtandao.
Shukrani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana nyuzi kuhusu product yake humu humu JF na namba yake niliyonayo ni 0769302206. Pia uki Google "Aunt Zainab's Natural Super Clay" utapata habari zake nyingi kwenye mtandao.
Ngoja nikuitie kabisa Zainab Tamim
Kusema kweli udongo wa Aunt Zainab hauna mfano wake hapa Tanzania. Toka nianze kuutumia nashindwa kuwa mbali nao. Nnautumia kama masking, scrubbing, kwa facial aina zote, nilipoanza kuutia kwenye nywele niliona mabadiliko makubwa within few days, nywele ziliacha kukatika kwa kitana, zikawa nzito na zinajaa kichwani.
Hivi sasa at least wiki mara moja nnajipaka mwili mzima (mud bath).
Nnampongeza sana Bi Zainab kwa hii product yake na ni highly recommended kwa yeyote yule.
Nampataje?
Maana ameitwa hajajitokeza,
Aiseee nimezidi kupata hamu ya kuutumia na mie.
Unapatikanaje na sh.ngapiNipo, nilikuwa mbali na mitandao kwa muda. Unawezza kunipata kwenye 0769302206 kuanzia kesho.
Unapatikanaje na sh.ngapi