Lotion/cream nzuri kwa bibi harusi mtarajiwa

Lotion/cream nzuri kwa bibi harusi mtarajiwa

Kusema kweli udongo wa Aunt Zainab hauna mfano wake hapa Tanzania. Toka nianze kuutumia nashindwa kuwa mbali nao. Nnautumia kama masking, scrubbing, kwa facial aina zote, nilipoanza kuutia kwenye nywele niliona mabadiliko makubwa within few days, nywele ziliacha kukatika kwa kitana, zikawa nzito na zinajaa kichwani.

Hivi sasa at least wiki mara moja nnajipaka mwili mzima (mud bath).

Nnampongeza sana Bi Zainab kwa hii product yake na ni highly recommended kwa yeyote yule.

Asante sana Bi Faiza.

Nimeipenda hii.
 
Tiba ya kwanza,kunywa maji mengi,at least 2.5 litres kwa siku,matunda,mboga za.majan kwa wingi,then changanya parachichi,manjano na glycerin uwe unapaka uson,shngon,mikononi na sehem zngne itakusaidia
 
Back
Top Bottom