SUNDIATAKEITA
Senior Member
- Jan 1, 2015
- 157
- 89
Shukran saana!!Bwana harusi ogea sabuni ya Diva tu.Usipake ile fade cream coz utakua kama Ray afu utazua mtafaruku.Nashauri upake Nivea cool kick.yaani utakua na rangi flani amaizing afu utang'aa hapana kuwa mweupe unakua kama chocolate iliotiwa maziwa kidooogo.sijui unanipata?