Lotion/cream nzuri kwa bibi harusi mtarajiwa

Bwana harusi ogea sabuni ya Diva tu.Usipake ile fade cream coz utakua kama Ray afu utazua mtafaruku.Nashauri upake Nivea cool kick.yaani utakua na rangi flani amaizing afu utang'aa hapana kuwa mweupe unakua kama chocolate iliotiwa maziwa kidooogo.sijui unanipata?
Shukran saana!!
 
Nakutakia kila la kheri mpendwa...Naamini umechagua kilicho bora...Na nenda ukayaishi yale yote uliyokuwa unayasema humu..Mungu awatangulie
Amina mpendwa barikiwa sana.
 
Yani labda uonane na wataalamu wa ngozi afu ndo warecommend utumie kitu gani, kama unaona unachotumia kwa sasa hivi hakina effects na ngozi yako. But ni vizuri ukatumia vitu natural, Tafuta uzi wa hornet hapo juu.

Mtu anaweza akawa anatumia lotion ikampenda kweli but wewe ikaja kukutoa manundu na harusi ndo hiyooo. BTW hongera sana mpenzi
asante mpendwa
 
Mhhh tumia ulichokua unatumia sanasana relax,stay indoors mara nyingi paka treat za asili,massage na scrub kwa wingi nk
Ukianza kipako kipya kikakuharibu je?
ila kweli! asante mpendwa
 
He! Naona umejivika ukungwi! Anae somo wake ivoo! Hapa anatafuta mafuta tu
Dunia hii ni uwanja wa fujo ingawa elimu haina mwisho. Kwa sisi Mahausiboi ni kawaida yetu kuchangia mawazo na wala hatuna uchoyo wa mawazo maana tuna uelewa uliotukuka katika kukaa kwa mabosi wengi. Mwache kungwi afanye yake na sie tuchangie upuuzi wetu.
 
Huwezi tumia kwa matumizi ya kawaida?haichubui?kwanin unasema kupaka usiku tu na kama hautoki inashnda gan ukitoka umepata
My dear hii ni 100 percent hypoallergic.sio carolight ya ef tano kariakoo mpendwa hii kitu.na usisahau kwamba haina hydroquinone na inachangwa na cocoa butter.wewe mwenyewe unajua kama vipodozzi hivyo ni poa tu.
 
Huwezi tumia kwa matumizi ya kawaida?haichubui?kwanin unasema kupaka usiku tu na kama hautoki inashnda gan ukitoka umepata
Dokta akikwambia dawa hii meza moja mara tatu anajua nguvu ya dawa ile.So inashauriwa upake usiku ukiwa umerelax ili ifanye kazi na asubuhi iwe imeisha nguvu.ukipaka mchana na jua la bongo itakuchubua.Yaani unakua unai abuse.inakua mkorogo sasa.ikiingiliana na jua kali utakua mweupe sana na kama ngozi yako ni nyepesi utakuwa mweupe sana.Fata maelekezo.paka usiku na mchana paka clere cocoa butter au nothing at all.
 
Unataka uso usio na madoa?
Mtelezo kama hariri?

Chukua unga wa dengu mix na unga wa mdalasini na manjano,

Asubuhi: changanya mchanganyiko wako na rose water, pakaa kwa kusugua, kisha baada ya dkk 15 chemsha maji yako kwny sufuria then jifukize usoni, ule mvuke utafanya mchanganyiko wako ulainike sugua kisha nenda kanawe.
Then paka lotion yako ile ile ya siku zote.

Unaweza rudia na jioni.
 
Well said, hii ndio kitu huwa nafanya nikiwa sina rose water nachanganya na maji ya limao.....siku ambayo sipaki hiyo napaka udongo wa ant Zainab Tamim...bi harusi mtarajiwa go for this, you won't be dissapointed.
 
Udongo wa Anti Zainab ukoje huo?
Natamani niujue.
 
Aisee usijemnyima mwenzio kikojoleo hata kama mmekosana.kumbuka kutunza zle siri zenu.cyo kila chaka unamwaga ubuyu.kingine kikubwa ni mungu na ndoa ndoa na mungu.so far usisahau kuwa na tabasamu muda wote.ooh sorry kuhusu rotion we paka mafuta uliyoyazoea.uwe asili tu
 
Udongo wa Anti Zainab ukoje huo?
Natamani niujue.

Kusema kweli udongo wa Aunt Zainab hauna mfano wake hapa Tanzania. Toka nianze kuutumia nashindwa kuwa mbali nao. Nnautumia kama masking, scrubbing, kwa facial aina zote, nilipoanza kuutia kwenye nywele niliona mabadiliko makubwa within few days, nywele ziliacha kukatika kwa kitana, zikawa nzito na zinajaa kichwani.

Hivi sasa at least wiki mara moja nnajipaka mwili mzima (mud bath).

Nnampongeza sana Bi Zainab kwa hii product yake na ni highly recommended kwa yeyote yule.
 
Celebtricity.com😀😀😀😀😀😀.
 
Nampataje?
Maana ameitwa hajajitokeza,

Aiseee nimezidi kupata hamu ya kuutumia na mie.
 
Back
Top Bottom