Lotion gani nzuri kwa mwanamke na ipi nzuri kwa mwanaume ?

Lotion gani nzuri kwa mwanamke na ipi nzuri kwa mwanaume ?

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
Jamani kupendeza na kushine ni jambo la kila mwanadamu, Najua humu jf watu muna experience na lotion mbali mbali .JE ni losheni gani kumfanya mwanamke ashine na ipi nzuri kwa mwanaume
 
nenda kwa wataalam wa ngozi watakusaidi kulingana na aina ya ngozi yako.
Labda jaribu S.H. amon posta au kariakoo kama uko dar.

Kuna hizi product za GNLD au Forever Living
siwezi zitolea ushahidi maana zijazitumia.
 
wewe unatumia ipi?
 
Natumia vaseline(1,500) au baby care(3,50).

Nikiwa na hela natumia Nivea lotion(elfu nne)
hizi bei ni kwa shilingi ya tanzania

kumbe nivea ipo hadi ya elfu nne kesho lazima nianze kushine
 
nivea, dove, himalaya, palmers cocoa butter, kuna 1 inaitwa rinju ya paris ila hii siionagi sn madukani, Forever lotion
Hizo hapo juu nliwahi kutumia zamani, kwa sasa natumia product za Oriflame hizo ni babkubwa, ila naona wana product nyingi zaidi kwa w'ke.
 
.........Aveeno ni lotion nzuri sana, wanawake kwa wanaume wanatumia. Vile vile Vaseline cocoa butter deep conditioning lotion ni nzuri pia jinsia zote wanatumia.
 
karolaiti kwa wadada na kleamen kwa wanaume!
Tukiacha utani, kwa wadada palmers cocoa butter na dove!
 
wanaume wanatumiaga lotion?
I have never used one, let alone sijui mafuta....duh!!
Sasa kama hivi tu wadada wanakoma, je nikitumia hizo lotion si ndo itakuwa balaaa....
 
Back
Top Bottom