Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Uzuri wa Dove na Nivea wana za watu wenye ngozi ya mafuta na zisizo na mafuta. Ni kiasi tu cha mtu kuchagua ile inayomfaa.
Kesho nikanunue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa Dove na Nivea wana za watu wenye ngozi ya mafuta na zisizo na mafuta. Ni kiasi tu cha mtu kuchagua ile inayomfaa.
Jamani kupendeza na kushine ni jambo la kila mwanadamu, Najua humu jf watu muna experience na lotion mbali mbali .JE ni losheni gani kumfanya mwanamke ashine na ipi nzuri kwa mwanaume
Wewe dada acha roho ya kichawiNgoja nikagoogle lotion za bei kubwa nije nipate sifa hapa
Mmh kumbe kuna watu walikua wanaionea sana wivu couple ya Cc
Wenzenu wakisisiana wanaweka tag kabisa ili mhusika awahi kuiona cc
Hahahaha mkuu umeshindwa nunua hata mafuta ya mamisMafuta ya kupikia mboga ndyo lotion yangu pendwa
Wewe bado mpofu sana kiongoz mbona mimi napaka lotion na bado nafanya kaz ngumuJipake hata oil chafu alimradi usionekane umepauka...wengine wake zetu wakituona tunajipaka lotion huwa wanauliza leo hela utapata kweli maana hizo hufanya mwanaume aogope kushika shika vitu na kukimbizana kwenye mavumbi kwa kuogopa kuchafuka.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app