Lotion gani nzuri kwa mwanamke na ipi nzuri kwa mwanaume ?

Lotion gani nzuri kwa mwanamke na ipi nzuri kwa mwanaume ?

kwa mwanamke, pure seduction lotion ya Victoria's Secret ...Nzuri sana!
 
wanaume wanatumiaga lotion?
I have never used one, let alone sijui mafuta....duh!!
Sasa kama hivi tu wadada wanakoma, je nikitumia hizo lotion si ndo itakuwa balaaa....

.........sasa kama hutumii lotion si unapauka!! tumia bana, tena tafuta ya toning skin lotion, wewe mwenyewe utajipenda ngozi yako.
 
Asante mama! Pure seduction ama Love spell! Inanukia uzuri pia na zafaa kwa dry skin.
For men wenye problem skin Vaseline (blue bottle) nzuri na ina a masculine scent (msiniulize abt masculine scent)
kwa mwanamke, pure seduction lotion ya Victoria's Secret ...Nzuri sana!
 
INategemea na ngozi yako, rangi yako ya asili, kama una tabia ya kutoka pimmple au la, kama ngozi lina mafuta au la, miaka yako etc. Ila walio taja hapo jii sio mbaya.
Tafuta pia zenye kua adapted kwa black skin (if you are a sister)
 
Majuzi nilishauriwa ni nunue Rinju dah ikopoa tatizo harufu yake kali hautaji pafyumu kwa hiyo inaingilia kazi za wengine
 
INategemea na ngozi yako, rangi yako ya asili, kama una tabia ya kutoka pimmple au la, kama ngozi lina mafuta au la, miaka yako etc. Ila walio taja hapo jii sio mbaya.
Tafuta pia zenye kua adapted kwa black skin (if you are a sister)
Uzuri wa Dove na Nivea wana za watu wenye ngozi ya mafuta na zisizo na mafuta. Ni kiasi tu cha mtu kuchagua ile inayomfaa.
 
Thanx God, niliacha kutumia hizo mambo nikiwa form 2. Mpaka leo kazi yangu ni kununua mafuta ya nywele na unyunyu tu. Bt still kidume mang'aa

BTW sio kila ngozi inahitaji mafuta ukishaijua ngozi yako wala huangaiki.
 
me binafsi huwa natumia razac lotion huu mwaka wa 6. ila mwanaume anayetumia product za nivea namfagilia sana!
 
Jamani wadau lottion gani nzuri kwa mwanamke mweupe mwenye ngozi ya mafuta na isiyo na mafuta
 
Yaani haya mafuta ya nazi ni balaa, kila mtu ananiuliza umatumia lotion gani?
 
Back
Top Bottom