Jamani kupendeza na kushine ni jambo la kila mwanadamu, Najua humu jf watu muna experience na lotion mbali mbali .JE ni losheni gani kumfanya mwanamke ashine na ipi nzuri kwa mwanaume
nivea, dove, himalaya, palmers cocoa butter, kuna 1 inaitwa rinju ya paris ila hii siionagi sn madukani, Forever lotion
Hizo hapo juu nliwahi kutumia zamani, kwa sasa natumia product za Oriflame hizo ni babkubwa, ila naona wana product nyingi zaidi kwa w'ke.
.........Aveeno ni lotion nzuri sana, wanawake kwa wanaume wanatumia. Vile vile Vaseline cocoa butter deep conditioning lotion ni nzuri pia jinsia zote wanatumia.
wanaume wanatumiaga lotion?
I have never used one, let alone sijui mafuta....duh!!
Sasa kama hivi tu wadada wanakoma, je nikitumia hizo lotion si ndo itakuwa balaaa....