Lotion kwa Wanaume

Lotion kwa Wanaume

[emoji23][emoji23][emoji23]

Mpe ushauri mbona unamcheka tena,ndiyo ndugu zetu hawa wa dar usishangae wanapokezana pia vioo na dada zao.mwanaume lotion ya nini unakula chapati unajipaka yale mafuta yanayobaki mikononi tu usoni na ukioga haina haja ya taulo unajipukutisha maji kama mbwa[emoji16][emoji16]
 
Mwanaume unaoga ili iweje mwanaume haogi
 
Kuoga muhimu broo acha usipooga utanuka mwili kwanza ukioga kuna hali fulani unaisiki mwilini kama dawa kwa kutokuoga utampoteza mwenzako usimshauri asioge acha aoge akitaka akaogelee mtoni bwawani au baharini.
 
Mpe ushauri mbona unamcheka tena,ndiyo ndugu zetu hawa wa dar usishangae wanapokezana pia vioo na dada zao.mwanaume lotion ya nini unakula chapati unajipaka yale mafuta yanayobaki mikononi tu usoni na ukioga haina haja ya taulo unajipukutisha maji kama mbwa[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] ndo maana nimecheka mkuu yaani nimefikiria sanaa adi nkakosa cha kumshauri.
Mwanaume hata ukifanya zoezi kidogo tu mradi jasho likutoke mbona ngozi inakuwa safi kabisa lotion tena!!?
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha nifurahi kwanza.
 
Back
Top Bottom