Patrick2000
Member
- May 29, 2021
- 10
- 15
Wanajamii naomba msaada, lotion nzuri kwa wanaume wenye ngozi yenye mafuta maeneo yenye baridi.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume unaoga ili iweje mwanaume haogiMpe ushauri mbona unamcheka tena,ndiyo ndugu zetu hawa wa dar usishangae wanapokezana pia vioo na dada zao.mwanaume lotion ya nini unakula chapati unajipaka yale mafuta yanayobaki mikononi tu usoni na ukioga haina haja ya taulo unajipukutisha maji kama mbwa[emoji16][emoji16]
Mwanaume unaoga ili iweje mwanaume haogi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume unaoga ili iweje mwanaume haogi
Hii anatumia Ole Sabaaya katika Gereza La Kisongo (Arusha).Bebi care
Hahahaha wabongo hatufaiHii anatumia Ole Sabaaya katika Gereza La Kisongo (Arusha).
Lotion inawasha hii sijapata kuona. Ukijichanganya tu ikagusa jicho basiLotion ya Vaseline for Men
[emoji23][emoji23] ndo maana nimecheka mkuu yaani nimefikiria sanaa adi nkakosa cha kumshauri.Mpe ushauri mbona unamcheka tena,ndiyo ndugu zetu hawa wa dar usishangae wanapokezana pia vioo na dada zao.mwanaume lotion ya nini unakula chapati unajipaka yale mafuta yanayobaki mikononi tu usoni na ukioga haina haja ya taulo unajipukutisha maji kama mbwa[emoji16][emoji16]
Lotion inawasha hii sijapata kuona. Ukijichanganya tu ikagusa jicho basi
We mbinguni sahau.Duhhhh.....
Nimejikuta nawaza mbali sana...🤨☹️
Dah. 😂😂Mwanaume ni kula vitumbua na kujipaka mafuta yake kwisha maneno,