Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Mipango bado sijaiset 😂😂😂
Nalogoff
Mm huwa natumiaga mafuta ya Nazi tuu, sitakagi kucomplicate mambo sana, hayo hayo natumiaga kweny ngozi na kweny nywele maana wadada wamenambia haya hayaletagi mba kweny ngozi ya nywele za kichwa(mafuta ya mgando sio mazuri kwa kupakaa kweny nywele yanaleta mba/ukoko mweupe) namalizia na perfume then nakanyaga mwendo, sina mambo mengi, mambo mengi ya wenzetu sio sisi wakiumeni😅😅😅
 
Sasa hapo kwenye perfume si utanukia kinke nke!? Usijipulizie we komaa na mafuta ya nazi tu😂😂

Natumiaga perfume zile za kiume ambazo hazinukiagi sana😅😅😅, zile za kukata harufu ya jasho tuu isiwe intensive, kidogo tuu ata angalau ukipita karibu na mtu asianze kusema wakaka wa sikuiz wananuka jasho, maana mm natembeaga kama nakimbizwa kwaio nikifika sehemu lazima vijasho vinitoke, alaf hata mwenyew nashaangaaga kwann natembea fasta kama nakimbizwa😅😅😅 kimsingi nikitoka kuoga ni kujikausha then mafuta ya Nazi then kuchana nywele alaf kishada, haina mambo mengi broo😊
 
Ndio udume huo😂😂😂
Nalogoff
 
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Wote mmejarib kumsaidia mdau wetu lakin jibu sahihi ni ununue palmers for men utajisifu. Elf 18
 
Back
Top Bottom