Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Mi sipendi complication huwa napaka Samona tu inatosha.
 
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Mkuu paka mafuta ya Nazi tu mkuu, ukikosa paka zako korie tu wanaume hatuna mambo mengi na wala hakuna atakae kuuliza
 
Ni kweli mie nina mwaka now ni mwendo wa parachuti ila naisaka African coconut oil n nzur zaidi sina mambo mengi now
 
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Revlon,japo ni brand ya zamani lkn nafkiri bado inasound good.
 
Mi bado natumia povu lá sabuni
Nalog off
🤣😂
Hao wanaume wa Dar wanatumia rosheni.. wanataka ngozi nyororo
sisi ni kombati ya magadi...

1640222410852.png
 
Habari ndugu jamaa na marafiki. Kama vile kichwa cha barua kilivyo. Naomba kujuzwa ni mafuta gani ya kupaka ambayo harufu yake ni nzuri na yana bei nzuri isiyozidi elfu kumi na tano ambayo mwanaume yatamfaa zaidi? Naomba msaada
Dove
 
Mafuta ya break changanya na ya Nazi kidogo, wewe unakuwa mwanaume kamili
 
Tumia vaseline for men au Nivea for men zote ziko poa! Me ndo mafuta yangu hayo toka niko o- level,, na uzuri wa hizo lotion hata kama hujajpulizia perfume fresh tu!
 
𝐇𝐢𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐜𝐡𝐮𝐛𝐮𝐚 𝐚𝐬𝐢𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞 𝐦𝐭𝐮, 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐲𝐚𝐣𝐚𝐫𝐢 𝐍𝐞𝐯𝐢𝐚 𝐟𝐨𝐫 𝐦𝐚𝐧, 𝐲𝐚𝐥𝐢𝐧𝐢𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐭𝐮𝐩𝐚, 𝐧𝐢 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐜𝐫𝐞𝐞𝐦
 
Nivea ipi hiyo mkuu ulitumia?
 
Kwa wale mnaopenda vitu vya asili vyenye zero kemikali tafuta mafuta yanayotokana na mbegu za maboga. Iwe imetengenezwa kikwetukwetu bila kuongezwa kitu. Utang'aa km vile una pesa kweli na unaishi chin ya uangaliz maalum wa Dermatologist mkuu. Hutaamin!
 
Back
Top Bottom