Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sanaNakumbuka nilinunuaga lotion nikaambiwa inapunguza unene na ushuhuda juu nikapewa. Kwenda kuipaka niliwashwa kama nimepaka pilipili kwa masaa mawili, sikurudia tena.
Asantee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana
Yes...kupunguza unene hakuhitaji lotion. Maana lotion hupakwa kwenye ngozi. Kupungua unene kama ulivyoandika ni suala la mazoezi na kupunguza kula wanga na sukari kwa wingi.Hao matapeli mwili hupungua vizuri ukifanya mazoezi, nakula chakula sahihi, nisikudaganye no shortcut ya kupungua aisee,
huu udadisi wako unaniogopesha. ole wako upungue zaidi ya hapoMaelekezo yake yakoje?
Anapakaa sehemu anazotaka zipungue ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole diaNakumbuka nilinunuaga lotion nikaambiwa inapunguza unene na ushuhuda juu nikapewa. Kwenda kuipaka niliwashwa kama nimepaka pilipili kwa masaa mawili, sikurudia tena.
[emoji12][emoji12]Wanakula kula vitamuNyie mnaonenepa huwa mnakula nini tusivyokula?
mmeenda mbali weee mkala sasa mnataka mkonde.
Teh...ndicho nachouliza. Wao wanakula nini kitamu wanasahau wananenepa.Duuh! Vibonge kazi wanayo.
Ila huwa najiuliza inakuwaje mtu anajiachia mpaka anakuwa tipwa tipwa halafu baadae anataka kupungua wakati hii hali alitakiwa aichukie toka mwanzo kwa kujijali katika kula na hata kufanya mazoezi ili awe na mwili wa wastani.
Yabidi wanene waje watupe majibu kwa kweli.Teh...ndicho nachouliza. Wao wanakula nini kitamu wanasahau wananenepa.
Yaani tunahangaika sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole dia
Wanawake tuna mambo mengi.