Lotions za wadada bei kati ya 5,000 - 20,000

Tatizo harufu, naona zina harufu kali.
Rinju ina harufu kali
Mimi naipenda kwa sababu nikiitumia huwa sina haja ya kutumia na body spray au perfume.
Hii Ni nzuri kwa mtu anyependa kunukia kama Mimi.

Ipo Razac Ile nyeupe ina harufu nzuri Sana isoyochosha(acha ile Razac ya rangi ya cream)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana huna wakukuonga mamy hadi kutumia lotion local kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…