Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Rinju ina harufu kaliTatizo harufu, naona zina harufu kali.
Mimi naipenda kwa sababu nikiitumia huwa sina haja ya kutumia na body spray au perfume.
Hii Ni nzuri kwa mtu anyependa kunukia kama Mimi.
Ipo Razac Ile nyeupe ina harufu nzuri Sana isoyochosha(acha ile Razac ya rangi ya cream)
Sent using Jamii Forums mobile app