Lounge au night club kwa Dodoma

Lounge au night club kwa Dodoma

Wamiliki wa club za Dar wawekeze Dodoma jiji la kiserikali watu wanaenda na per DM zao wanataka kula bata mmiliki wa JULIANA CLUB mbezi beach Africana salute kwako kiwanja kama kile ukiweka Dodoma safari za Dom zitazidi kuwa tamu sana.
 
Mkuu Dodoma huu mji Kwa anasa pako vizuri sana huwezi amini ata nyumba za kulala wageni zinajaaa mapema sana aloo
 
Tangu nifike huku me ni bambalaga tu kila jmos kiukweli kwa Dom hapa ni 🔥. Na jumapili natulia tu capital park.
Sehemu nyingine ni wapi?
Nataka nikaone na Royal village pia weekend hii.
 
mbambalanga Iko sehemu Gani?
Capital Park Iko sehemu Gani Dodoma kati? Au wapi hasa?Migeninndo nawasiri?
 
Kwa sasa nasikia rain bow ndio inakimbiza. Rainbow ipo karibu na bunge.

Capita park iringa roàd

Ila nasikia kuna prime restaurant & Bar iko poa sana.
 
Back
Top Bottom