MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #81
NAKUBALIANA NA WEWE BABU YANGU....As long as hakina madhara na mahusiano yako ya sasa.Depends na kilichofichwa.......kama unachoficha kina madhara kwa mahusiano ya sasa, hupaswi kufanya hivyo......
ni kweli Babu hajawahi ficha.................but pia hajawahi sema.
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.
Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku nyingi ambacho nimekuwa sikielewi...... the relationship between LOVE and HONESTY. Nilikuwa naamini kuwa unapompenda mwenzi wako si lazima kuwa utakuwa honesty kwake kwa kila kitu. Kuna vitu ambavyo utajikuta unalazimika kuvificha au kusema ndivyo sivyo ili tu kulilinda penzi lenu- especially vile ambavyo ulivifanya zamani kabla hamjakutana.
Lakini kwa wengi nimejikuta hawaamini katika hilo so naomba wanajamvi mnisaidie.
Natanguliza shukrani zangu
Depends na kilichofichwa.......kama unachoficha kina madhara kwa mahusiano ya sasa, hupaswi kufanya hivyo......
C'mon grandie, now you know me well.
Babu anakuambia na kukushauri kajukuu, be honest in your love life. Kwa mfano, mwambie mpenzi wako wa sasa yote uliyoyafanya na mpenzi aliyepita. Alivokuwa anakurusha, sababu ya kuachana naye nk nk nk...kama hatakuelewa, apotezee zake. Kama atakuelewa na kuvumilia, hapo ndipo utamu wa mapenzi unapokuja. Kibaya ni pale unapomficha afu aje asikie kwa watu, ajue na yote uliyokuwa wayafanya kwenye sita kwa sita ilhali yeye hujamfanyia..... utaachwa wakati ndio unaanza kupenda na hatari yake ni kubwa zaidi.
Babu anarudi kitandani.
Hapa umenena sisy...mie lilinikuta sipati kukwambia....nilijitia kumwambia mwenzi siri kuu ya familia ambayo hata wadogo zangu hawakuwa wakiifahamu only to happen that siku tumeombana akalimwaga mbele yao pwaaahhhhhhhh mbona nlitamani kuingia uvunguni mwa kabati acha tu
Maty yasikie tu kwa mwenzio.... bahati yangu haikuwa jambo kuuuubwa kihivyo mbona ningeumbuka binti wa kike mie!![/SIZE][/B]
MJ1 Umenichekesha mwe! jamani mapenzi haya
Maty yasikie tu kwa mwenzio.... bahati yangu haikuwa jambo kuuuubwa kihivyo mbona ningeumbuka binti wa kike mie!!