Sipo mjini anko. Niliwacha Jiji lao wapambane na joto wenyewe. Ningekuwepo tungekutana tu mtaani kwetu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anko uko mjini kweli?
Long time no see...
Miss you too [emoji7]
π₯°π₯°π₯π₯π₯Naomba nijibu swali ulilouliza π€£π€£π€£ Mimi imenitokea na mwanaume mwenyewe ndio mume wangu 8yrs now with him, najisemea tu which of the favor of my Lord will I deny? Yan hakuna
Nilikutana nae high school , tukiwa assemble nikamuona mkaka armesing uiii nasisimka hapa nikikumbuka Ile siku. Mtoto nilikua sijawah kua hata na mwanaume akaja nae assemble kumbe nae ndo kaja shule kujiunga form five ayayayay nilikua driven by his body and eyes.
Mkaka akawa arts mie science. nikawa na shoga angu yupo arts,( wake marafiki tunaokaaga watatu) sasa huyu shoga angu nikaeka mkakati kila tukitoka darasan anisubiri nimpitie ili iwe chance ya kumwona huyu mkaka, kumbe nae akawa amenielewa , siku ananisogelea Ile body spray yake ingenifanya niliwe kimasiharaπ€£π€£π€£π€£ ayayayaa acha niishie hapa maana naona naaza kuharibu.
I love him sooooo much my sensual healer
Kibatala: Je ulikuwa single wakati unatamani huyu kijana awe mwanaume wako?
Joanah: Sina pete kidoleni
Kibatala: Umejibu swali ambalo sijakuuliza, Jibu ni Ndio au hapana.
Joanah: Hapana, lakiniiiiiiiii
Kibatala: Hakuna cha lakini hapa. Je nitakuwa sahihi kuiambia mahakama kuwa ulitamani na kuwaza kufanya kitendo cha usaliti na ukatekeleza azma yako
Joanah: Naomba niende washroom.ππππ
Nakutania dada yangu . Hongereni.
Kumbe ndio maana kila nikija Goba unanikimbia?Mapenzi babu. Kudinywa nAWEZA dinywa ila kudinyana na mtu mnapendana hakuna raha kama ile
Mimi na Goba wapi na wapi lakini? Goba naendaga kwenye ulevi tu ila sio mkaazi wa huko mieKumbe ndio maana kila nikija Goba unanikimbia?
Kumbe ulinidanganya kila siku natia mguu Goba kuja kukunyemelea.... nimwachie Mungu?Mimi na Goba wapi na wapi lakini? Goba naendaga kwenye ulevi tu ila sio mkaazi wa huko mie
Everything happena for a reason even if you cannot explain it.Hey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani, nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus, mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo, masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla.
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man [emoji4][emoji4] Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man [emoji1635]
Am so in love!
Mwachie Mungu tu.Kumbe ulinidanganya kila siku natia mguu Goba kuja kukunyemelea.... nimwachie Mungu?
Sipo mjini anko. Niliwacha Jiji lao wapambane na joto wenyewe. Ningekuwepo tungekutana tu mtaani kwetu
Daaah!Hakuna mrefu yasiyo na ncha...
AiseeeeeAwwww. Hongera sana mama. Namna napenda mapenzi naelewa unavyojisikia moyoni. Mwenyezi Mungu awajaalie miaka mingi yenye furaha pamoja.
Na ck mkiachana uje hapa kuleta mlejesho sawa mama.Hey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani, nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus, mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo, masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla.
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man ππ Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man π₯
Am so in love!
Mwambie ukweli.. Atakapogundua jamaa ameacha familia huko Tunduma sijui Mara sijui Kahama, atuletee mrejesho--What a beautiful thing 'To Love and To Be Loved!!
Best of Lucky Jojo π₯° nakuombea matukio mtakayopigana ( kimsingi hayakosekanagi.. Kama sio sasa na hata baadaye) yawe ni yale ya kuvumilika.
[emoji28]Pacha umetoa wapi hiyo 'roho ya korosho'?Mtaachana tuuu narudia tena mtaachana tuu
It's all about time
π€£π€£π€£ anatakiwa ajue sasaIla usimgusie kuhusu zile mishe zetu za kuweka mbupu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Asante sana Islamabad life kwa kunikubaliKatiya member ninaowakubali namba1 mungu akubarikitu maana sasa shuhulipevu