Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Ndoa na uzinifu ni vitu viwili tofauti.
Mungu ni muasis wa ndoa wewe
acha wivu. Kupenda sio dhambi ni amri kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni muasis wa ndoa wewe
acha wivu. Kupenda sio dhambi ni amri kuu
Sawa, kumbe hii ndio ID yako.Hey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar
Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani,nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus,mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo,masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla...
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man [emoji4][emoji4]
Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane nae nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man [emoji1635]
Am sooooooooooo in love!!
Hakuna mrefu yasiyo na ncha...
Na jua likawachome ipasavyo huko njiani mkitembea.Mtaachana tuuu narudia tena mtaachana tuu
It's all about time
Acha povu basi ...Mungu mwenyewe kasema tupendane .Kweli kabisa unamhusisha Mungu katika tamaa za mwili wako? Huyo labda shetani. Tufikirie sana tunapomwongelea Muumba. Ni sawa na jambazi anayeomba aue, aibe na asikamatwe halafu anasema nilmwomba Mungu!!
hahahaNdoa na uzinifu ni vitu viwili tofauti.
Tayari ni mzee thus why I act like thisWivu tu unakusumbua.
Utakuwa mchawi ukiwa mzee sio bure
Natamani nitoroke kazini!Umehamasika kitu gan?
Hatutembei kwa ngondi sieNa jua likawachome ipasavyo huko njiani mkitembea.
We mwenyewe mchawi tuWivu tu unakusumbua.
Utakuwa mchawi ukiwa mzee sio bure
WoowHey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?