love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

Salute Bishanga, naona upo vizuri.

Salute yako Kiongozi bora hata umpelekee pusy wako hom!
Huyu Kilafi Jazzband Bishanga ni wa kumchinjia kwenye bwawa!
Asione manzi nguo imem'bana mstari wa chupi unaoneka shipa linamstand!
Sie wengine tuna mabinti wa form one!
Mtu kama huyu staki hata salamu yake!
Fisadipapa maal'uni mkubwa huyu!
Na siku eti nimkute kampa lifti binti yangu, bomba ya kichwa tu! Fumufumu! Bladi nanihii huyu!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ........ sijakupatia wa kufanana na wewe;
Hongera kwa kupata vifanyishio na asante sana kwa kutujuza.
 
Last edited by a moderator:

mhh.........mie yangu mimacho tu...........na hivi mikubwa:glasses-nerdy:!!!
 
we @@Bishanga kweli yahaya umekosa wakuhonga sasa unaanza kuparamia wake za watu lol
 
Bila kunitaja huoni raha Bishanga,nakumisije hadi naotaaa?!
 
Last edited by a moderator:
Bila kunitaja huoni raha Bishanga,nakumisije hadi naotaaa?!

Yaani Shem unamuotaga huyu Dumuzi , Afriti mwana wa hizayani !
Hebu diliti ndoto zote ulizomuota!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umenikumbusha ngoja na mie nikaangalie nami nilipost natafuta mume huwezi amini Judgement alikuwa wa kwanza pm Erickb52 hadi analia nimpe chance watakuwa wameongezeka nikiwaweka hapa wake zao watapachimba na walivyo na mihemko ya wivu.kuna mmoja alinidedicate wimbo wa my number one nadhani atakuwa ArushaoneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Last edited by a moderator:

Na mbona huaniki yote?
Unasema baadhi na baadhi una ajasti !
Mbona husemi kama uliniagrii tukajashindana uliponikuta bado nna "kono la sweta".
Ukanisharaiti nikaliondoe! Ule muda nasubiria nipone ndo kakuta Muhaya keshakutwaa!
My wife YNNAH usijaji haya yalitokea kitambo bado Jeiefu inaitwa Jambo forums .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…