love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

Salute yako Kiongozi bora hata umpelekee pusy wako hom!
Huyu Kilafi Jazzband Bishanga ni wa kumchinjia kwenye bwawa!
Asione manzi nguo imem'bana mstari wa chupi unaoneka shipa linamstand!
Sie wengine tuna mabinti wa form one!
Mtu kama huyu staki hata salamu yake!
Fisadipapa maal'uni mkubwa huyu!
Na siku eti nimkute kampa lifti binti yangu, bomba ya kichwa tu! Fumufumu! Bladi nanihii huyu!
Watu wengine bana,tangia YNNAH akufumanie na mtoto wa dada yake mihasira yote umehamishia hapa cc.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umenikumbusha ngoja na mie nikaangalie nami nilipost natafuta mume huwezi amini Judgement alikuwa wa kwanza pm Erickb52 hadi analia nimpe chance watakuwa wameongezeka nikiwaweka hapa wake zao watapachimba na walivyo na mihemko ya wivu.kuna mmoja alinidedicate wimbo wa my number one nadhani atakuwa Arushaone😀😀😀😀

naona juhudi zako za kumtaka mume wangu, kama vipi tubadilishane!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona sielewielewi tungo hii? Ina maana wewe unashikilia pembev@vin diesel akimniniliyu Heaven on earth?

hapana mie wala si shiki pembe la mtu yeyote mie nashikilia ndoa yangu tu, pale nilikuwa sina maana hiyo maana yangu ni nyingine kabisaaa!
 
Last edited by a moderator:
hapana mie wala si shiki pembe la mtu yeyote mie nashikilia ndoa yangu tu, pale nilikuwa sina maana hiyo maana yangu ni nyinginekabisaaa!
Mmmmhhhh haya...... hujambo lakini?
 
Hapa bora sijamsikia DEMBA ametumapo maombi pasingetosha hapa......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom