love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

Watu wengine bana,tangia YNNAH akufumanie na mtoto wa dada yake mihasira yote umehamishia hapa cc.
 
Last edited by a moderator:

naona juhudi zako za kumtaka mume wangu, kama vipi tubadilishane!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona sielewielewi tungo hii? Ina maana wewe unashikilia pembev@vin diesel akimniniliyu Heaven on earth?

hapana mie wala si shiki pembe la mtu yeyote mie nashikilia ndoa yangu tu, pale nilikuwa sina maana hiyo maana yangu ni nyingine kabisaaa!
 
Last edited by a moderator:
hapana mie wala si shiki pembe la mtu yeyote mie nashikilia ndoa yangu tu, pale nilikuwa sina maana hiyo maana yangu ni nyinginekabisaaa!
Mmmmhhhh haya...... hujambo lakini?
 
Hapa bora sijamsikia DEMBA ametumapo maombi pasingetosha hapa......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…