love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

tena nilisahau na YNNAH ali apply tena nasikia kabla hajapost PM yake keyboard aliipeleka kwanza kwa babu makorora 'isafishwe' chezeiya wewe YNNAH kwa mahusiano ya karibu na wazee wa busara.

Kaah we Bishanga unasema YNNAH alipeleka kwa babu makorora mbona sikumuona maana mimi ndie babu wa makorora. halafu naandaa dawa yako hiyo tabia ya kuwaaibisha mabinti wa watu.
 
Last edited by a moderator:
Kaah we Bishanga unasema YNNAH alipeleka kwa babu makorora mbona sikumuona maana mimi ndie babu wa makorora. halafu naandaa dawa yako hiyo tabia ya kuwaaibisha mabinti wa watu.

Mwanyasi ni kwamba huyo Bishanga kwa siku anasutwa takriban x 10 so far per week misuto 70 !
Per month ?
Btw keshakua immune wa misuto!
Hilo suto lako kwake linadunda tu!
 
Last edited by a moderator:
mhhh niliaplai laivu...........ila nilichoambulia.............siri yangu!!! Bishanga ni hipopotamus!!!

baby Paloma please!!!!!!usimwage kuku kwenye mchele,naenda Mumbai nikirudi.........
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
utakuwa umenifananisha wangu mie sipo dar wala tanga.Yaani nasikitika sitoweza kufika moi

Dah kweli duniani wawili wawili kama nimekufanisha!
Yaani mpo kama mapacha.
Mzima lakini?
 

aaaabeeee shemejiiiii!! @ynna anayajua
unataka kurudisha majeshi wapi?nijiondokee
nisijekusutwa mie!!
 

aaaabeeee shemejiiiii!! @ynna anayajua
unataka kurudisha majeshi wapi?nijiondokee
nisijekusutwa mie!!

Yaani shem kuonesha umbea hujaujua vzr , labda ndy unajifunza hata jina lake my wife umelimensheni limekugomea!
Waachie wambea wabobeaji.
 

Shria za JF zinapiga marufuku kuweka humu hadharani mambo ya PM. Umoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…