love connect nashukuru kwa kuniunganisha na.........

Yaani shem kuonesha umbea hujaujua vzr , labda ndy unajifunza hata jina lake my wife umelimensheni limekugomea!
Waachie wambea wabobeaji.

hivi kumbe halijamenshenika?
lahaulaa! limegoma hakiyanani lkn
huu umbea waniwasha sijui niufikishe vp!!
 
Wewe baba uniwache nipumue. Iam TAKEN already!!
 
ha haa haa baby. mimi ni wife material ujue!!!!!!sijui kwa nini Baba V alikuwa anataka kunichafua.

yaani...sema baby mi huwaga nikishakuamini bhaaas siskii siambiwi! hujambo lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…