Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ila tarajia uzao mwingi baada ya hii...kwani tunafanyaje majumbani zaidi ya kula na kulaliana.Mkimbie tu, mkajaze dunia, maana hili janga limetupunguza bila kupenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tarajia uzao mwingi baada ya hii...kwani tunafanyaje majumbani zaidi ya kula na kulaliana.Mkimbie tu, mkajaze dunia, maana hili janga limetupunguza bila kupenda.
Ila tarajia uzao mwingi baada ya hii...kwani tunafanyaje majumbani zaidi ya kula na kulaliana.
Uje uniue basi.Bila kusahau kuuwana
Uje uniue basi.
Nikinuka si utanikimbia.Ushakufa wewe...subiri kuoza.
Hivi tumelipia hili jukwaa?Nikinuka si utanikimbia.
Nililipa...sikukuambia?Hivi tumelipia hili jukwaa?
🤥🤥🤥Nililipa...sikukuambia?
Hivyo jinafasi.[emoji1781][emoji1781][emoji1781]
Marahaba
🧀🧀🧀🧀Hivyo jinafasi.
NotedKituko alikua ni mdada au?
inakatisha tamaa kwakweli,lakini cha kujiuliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤗🙂Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm
Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.
Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri wenu mzuri katika post yangu nitauzingatia sana
Naomba mtuombee tu na kututakia mema
Asanteni Mungu awabariki wana Jf wote
#Pm imefungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app