ID nyngn n ipi mzee wanguYenye 4G natumia na ID nyingine。
Apige ht nyeto kama suala la mwanamke limekuwa gumukweli una nyege mpaka akili haipo sawa nenda mbagala wapo wa elf3 yaani unaandika meseji yako Halafu unajijbu mwenyewe?
Kuna ingine najulikana kama mkurugenzi huku。ID nyngn n ipi mzee wangu
Nashukuru mkuu ila usifikirie kuwa ni mgheni wa simu manake wakati nipo Arusha nilianza kutumia Techo y6,Techno w3 lite,Itel s12 Kuna mambo yalitokea ila poa naona kebehi nyingiYani umetumia miaka mitatu mpaka kupata simu halafu unatafuta mke? Kuna maisha baada ya mgegedo,au utakua unamlisha nyasi?
Okkweli una nyege mpaka akili haipo sawa nenda mbagala wapo wa elf3 yaani unaandika meseji yako Halafu unajijbu mwenyewe?
Safi, endelea kuwapa madini kupitia ID ya ukurugenzi 😂Kuna ingine najulikana kama mkurugenzi huku。
Lengo ilikua nikuwavua ila kilichonikuta, asikwambie mtu。Safi, endelea kuwapa madini kupitia ID ya ukurugenzi 😂
Umepatwa na nn mkuu 😂Lengo ilikua nikuwavua ila kilichonikuta, asikwambie mtu。
Yaani huku amna ualisia, mtu kwenye kibodi amenyooka ila live ni kitu kingine. Ila namshukuru mungu maana yule dada alikuja kuwa mteja wangu。Umepatwa na nn mkuu 😂
Ulikutana na pisi kali ya kibodi 😂 Mm tangu Nmejiunga JF sijawahi kuwa na pigo hizo za kutaka kuonana na mademu wa humu anyway sio mbaya kama n mteja sasa ila bila shaka atakuwa anakopa sana mana tayari ulishaonyesha kumtakaYaani huku amna ualisia, mktu kwenye kibodi amenyooka ila live ni kitu kingine. Ila namshukuru mungu maana yule dada alikuja kuwa mteja wangu。
Hayaishi mpk nijue na ww unatumia simu gani? 😂Ishu n kwamba tuko mwaka gn afu yeye anatumia simu ya 2005 😎
Bc beibe yaishe 😂
Sema kweli?? 😂😂😂Ulikutana na pisi kali ya kibodi 😂 Mm tangu Nmejiunga JF sijawahi kuwa na pigo hizo za kutaka kuonana na mademu wa humu anyway sio mbaya kama n mteja sasa ila bila shaka atakuwa anakopa sana mana tayari ulishaonyesha kumtaka
Mm pekee ndio mkweli humu, nshasema mm n jobless afu nakaa kwa shangazi yangu 😎😂😂😂 huyo nilimsoma kitambo km mvuvi
PixelHayaishi mpk nijue na ww unatumia simu gani? 😂
Wachaga matapeli sana mpk kwenye mapenzi 😂😂😂Katika kushusha nyavu unaweza kubaliwa au kukataliwa
Kweli, ila nataka ww uwe wa kwanzaSema kweli?? 😂😂😂
😂😂😂 Na utafia kwa shangazi yakoMm pekee ndio mkweli humu, nshasema mm n jobless afu nakaa kwa shangazi yangu 😎
Ajanikopaga aisee。Ulikutana na pisi kali ya kibodi 😂 Mm tangu Nmejiunga JF sijawahi kuwa na pigo hizo za kutaka kuonana na mademu wa humu anyway sio mbaya kama n mteja sasa ila bila shaka atakuwa anakopa sana mana tayari ulishaonyesha kumtaka