njoo nikupige english course siku 2 tu unatema ngeli vibaya ila vigezo na masharti kuzingatiwanatamani sana kuchangia hili sredi lakini limekaa kimombo mombo wakati mi kiinglish nimeishia fom tuu b shule ya mtakuja kata sekandare skuul..... Hatukufikia silabasi ya kuchangia sredi kwa kimombo.

Natamani sana kuchangia hili sredi lakini limekaa kimombo mombo wakati mi kiinglish nimeishia fom tuu B shule ya Mtakuja Kata sekandare skuul..... Hatukufikia silabasi ya kuchangia sredi kwa kimombo.
Kwahiyo siku mtu ukiumizwa basi ile cycle ya love inakuwa imekamilika au it's just part and parcel ya experience??
Marahaba kajukuu kema..Babu shakmoo..
Niambie basi upendo ni nini
kwa kiswahilina asanta...
(kwa mameno yako mwenyewe)
NN mpenzi mbona unanidakia juu bana?...........kidhungu bana ah ni rahisi kudefine love kwa kizungu but kwa kiswahili mh!
Marahaba kajukuu kema..
Kwani hapa kinachozungumziwa ni upendo au mapenzi?..........Kama ni upendo kaulize kanisani, kama ni mapenzi kamuulize Mbu.
Kama unahitaji maelezo yangu, bado waweza kuniuliza ila usiogope majibu yangu yakiwa na maneno ya nguoni.
Nakuja hata kama masharti na vigezo havitazingatiwa.njoo nikupige english course siku 2 tu unatema ngeli vibaya ila vigezo na masharti kuzingatiwa
Nimepona ghafla kwa upendo wako mkuu namna hii..........

ODM mpenzi hujambo?yale maumivu yameisha?hivi kukujulia hali hivi si upendo?tunaiwekaje hii hasa ukizingatia alichosema mjukuu mtiifu..
Saa wantaka kwa upendo au kwa mapenzi?mi ntaka yako babu ..
Mvua ya Kiangaz kaingia mitini naona kaenda kutafuta Love Defined arudi nayoFinest umenionea mvua ya kiangazi humu?
Marahaba kajukuu kema..
Kwani hapa kinachozungumziwa ni upendo au mapenzi?..........Kama ni upendo kaulize kanisani, kama ni mapenzi kamuulize Mbu.
Kama unahitaji maelezo yangu, bado waweza kuniuliza ila usiogope majibu yangu yakiwa na maneno ya nguoni.
Saa wantaka kwa upendo au kwa mapenzi?
MJ1 mambo mengine huwaga tunayagumisha (nimeliunda mwenyewe hili neno na sijui kama lipo kwenye kamusi ya mtu) tu sisi wenyewe. Kuyafasili mapenzi kwa lugha yetu ya Kiswahili wala siyo vigumu kama unavyodhania. Mapenzi ni dhana. Ni dhana inayofurahisha nafsi. Ni dhana inayomfanya mtu ajisikie naye ni mtu katika watu. Ni dhana yenye utamu na machungu. Ni dhana inayoweza kuleta raha na shida.
Ni dhana inayoweza kumpatia mtu wasiwasi ama amani. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu ajione yuko kwenye dunia tofauti kabisa na wengine. Ni dhana inayoweza kumfanya mtu augue au awe mwenye afya.
Nasema mapenzi ni dhana kwa sababu mapenzi siyo kitu. Mapenzi hayashikiki, mapenzi hayaonekani huwezi ukanyoosha kidole na kunionyesha eti yale ndiyo mapenzi, mapenzi hayana rangi na wala hayana harufu.
Mapenzi ni dhana iliyopo kichwani. Kutoka kichwani inaelekea moyoni. Ikitoka moyoni inaelekea usoni. Ikitoka usoni inaelekea tumboni. Na ikitoka tumboni inasambaa mwili mzima.
I think the best way it's always to give someone a chance, by doing that at least he/she can be able to show it with action apart from words
Hapo ndipo mjukuu mtiifu unaponichanganya....kiinglishi hakipandi hapa bana....Aksante Babu so Wiselady ni Kajukuu kema mie nabakia Mjukuu Mtiifu si ndiyo??
Mbu sijui katokomea wapi maana katugaya siku hizi pengine hapa angetusaidia sana kufasiri.
Naomba tafsiri yako ya "love' Babu.......ntafumba macho kila nikifika kwenye neno la nguoni nsilione.

Mvua ya Kiangaz kaingia mitini naona kaenda kutafuta Love Defined arudi nayo
Upendo haujifichi,yote yote .. anze na Upendo..
kahawa ikiisha, nakuletea ugoro
halafu tuendelee na mapenzi...
Upendo haujifichi,
Upendo huvumilia yote
Upendo hauhesabu mabaya.
Upendo ni AMRI ya Mungu.

Aksante Babu so Wiselady ni Kajukuu kema mie nabakia Mjukuu Mtiifu si ndiyo??

Mbu sijui katokomea wapi maana katugaya siku hizi pengine hapa angetusaidia sana kufasiri.

Naomba tafsiri yako ya "love' Babu.......ntafumba macho kila nikifika kwenye neno la nguoni nsilione.