Love is blind ☹️

Love is blind ☹️

Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Tupo wengi tu mbona !
Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?
Kunyimwa uroda na mkewe ndilo tatizo kuu
Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?
Nyege huwasumbua
Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?
Waaminifu wapo lkn pia wasio waaminifu nao wapo wengi tu.
Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?
Ndiyo
Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
Wazazi wetu hawakuwa waropokaji bali alitunza siri zao za faragha.

Unaweza kuuliza swali la nyongeza kama hujaridhika na majibu hayo.
 
Hey Guys! Poleni na majukumu.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matukio mengi na ya kikatili yanayohusishwa na suala zima la mahusiano ya kimapenzi.

Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?

Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?

Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?

Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?

Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?

Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?

Maswali yako ya mwisho naomba nikujibu

Babu na bibi ndoa zao zilidumu sababu

1. Walioana jamii moja ama kabila moja

2. Ndoa zao zilikuwa arranged kwa makubaliano ya familia mbili

3. Dhamira ya kimaisha ama kusudi walikuwa wanaendana kusaidiana shambani kilimo na ufugaji.

4. Simu na mitandao na teknolojia haikuwepo. Bibi hana pa kujipost wala kujua mobetto anaishije ili amuige maisha yake
 
Mambo mengi yamebadilika, wengi wanajua kujipamba, kunukia, swaga zimeongezeka, maumbo feki yameongezeka, mahitaji ya msingi na ya kisasa yameongezeka n.k; hayo yote ndio yanawafanya watu wasitulie na mmoja.​
 
Maswali yako ya mwisho naomba nikujibu

Babu na bibi ndoa zao zilidumu sababu

1. Walioana jamii moja ama kabila moja

2. Ndoa zao zilikuwa arranged kwa makubaliano ya familia mbili

3. Dhamira ya kimaisha ama kusudi walikuwa wanaendana kusaidiana shambani kilimo na ufugaji.

4. Simu na mitandao na teknolojia haikuwepo. Bibi hana pa kujipost wala kujua mobetto anaishije ili amuige maisha yake
Utandawazi umeharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa ya zamani, nowadays ndoa zinafanywa kama maigizo (drama nyingi)
 
Sababu kuu za wanaume na wanawake kuwa na wapenzi wengi ni TAMAA. Ukija upande wa mwanaume huwa na tamaa za kingono hivo mke mmoja kwa mwanaume ni kama unamkomoa, ukija upande wa wanawake nao huwa na tamaa ya wanaume wenye mafanikio, leo atampenda mwanaume mwenye gari, kesho atakwenda kwa mwenye pesa, kesho kutwa ataenda kwa mwenye uume mkubwa yaani ni TAMAA tu mda wote
 
Hey Guys! Poleni na majukumu.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matukio mengi na ya kikatili yanayohusishwa na suala zima la mahusiano ya kimapenzi.

Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?

Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?

Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?

Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?

Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?

Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
inabidi tuamini kwamba uaminifu upo na usaliti upo, ila vinzidia rates!!!
kuna watu wanapata bahati ya kupata waaminfu ila wenyew wanakuwa si waaminifu haijalishi ni kwa mwanaume au mwanamke.....
hyo inategemea ila ni sawa na kubeti kwenye mkeka wa man u na liverpool
 
ukiona waaminifu hawapo, kuwa mwaminifu.
kizazi cha sasa utandawazi na ujuaji unatuponza hakuna uvumilivu, kuaminiana na wengi hawana upendo wa kweli.

Nikiwaza nitakuja kuishi na nani kwenye maisha ya ndoa huwa nakosa utulivu wa nafsi na moyo.
 
Hey Guys! Poleni na majukumu.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matukio mengi na ya kikatili yanayohusishwa na suala zima la mahusiano ya kimapenzi.

Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?

Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?

Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?

Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?

Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?

Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
Babu zetu walidumu kwasababu Walioa mabikra.
 
Back
Top Bottom