Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Tupo wengi tu mbona !Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Kunyimwa uroda na mkewe ndilo tatizo kuuNini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?
Nyege huwasumbuaNini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?
Waaminifu wapo lkn pia wasio waaminifu nao wapo wengi tu.Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?
NdiyoKuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?
Wazazi wetu hawakuwa waropokaji bali alitunza siri zao za faragha.Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
Unaweza kuuliza swali la nyongeza kama hujaridhika na majibu hayo.