Love songs thread

Damien rice - cheers darlin
Your browser is not able to play this audio.
 
Mimi nampenda huniambii kitu, yani utafikiri dada yangu wa damu.
Hivi haimbi siku hizi nilishalia hadi nikatulia mwenyewe 😅
Ana zingua baada ya show ya Superbowl ilitegemewa aachie album na afanye Tour mpaka sasa kimya.

Toka album ya Anti mpaka leo kimya ubillionaire una mpunguzia kasi ya muziki

Bado industry inamdai na sisi mashabiki zake
 
Na yule muhuni wake aliyezaa nae sijui ndio anampoteza? Sijawahi kumkubali hata kama Shemeji. Huwa natamani angerudiana na Brown yani ningepika biriani ya ngamia hiyo siku 🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…