Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mimi nampenda huniambii kitu, yani utafikiri dada yangu wa damu.Ni msanii wangu bora wa kike sauti yake ndio sababu kubwa ya kuanza kumkubali
Hivi haimbi siku hizi nilishalia hadi nikatulia mwenyewe 😅