Love songs thread

Love songs thread

Ugonjwa wangu huu. Mpaka nikimpata mpenzi ambaye hapendelei nyimbo za aina hii huwa naboreka, ni kama hatuongei lugha moja!

List yangu
1. Still the one ~ Wimbo wangu bora wa muda wote wa mapenzi. Ni kama Shania alituimbia mimi na kaka mzuri wangu, ni juzi tu nimetoka kuongea nae hili.
2. Mirrors ~ Justine Timberlake
3. Breathless ~ Shayne Wad
4. Unbeleivable ~ Craig David
5. Missing you ~ Casie
6. Said I love you but I lied ~ Michael Bolton
7. My baby you ~ Marc Anthony
8. You sang to me ~ Marc Anthony
9. I need you ~ Marc Anthony
10. Stuck on you ~ Lionel Richie
 
Kama ni meielewa hivi hii play list😍
 
Back
Top Bottom