LOVE STORY: That Guy

Pole mwaya, naona umeamua kumsemea Leon, ila Leon nae amesababisha mengi jamani, we ushaona hupendwi , si usepe uwaache? Visasi havijawahi muacha mtu salama, mi nina uhakika anaumia huko alipo kwa alivhomfanyia Bella, maana alimpemda sana
 
Hadi anamfanyia hivyo upendo ulikua umeshaisha wanaume hatuwaumizi wanawake tunaowapenda
 
Daah kastory flan katamu sana sijaamini nimekasoma mwa-mwi. Ila kiukweli nimejifunza kutokua na misimamo kwenye maisha kutakuingiza kwenye matatizo sana. Jitahidi kutumia akili zaidi ya hisia kila mahali
 
Pole mwaya, naona umeamua kumsemea Leon, ila Leon nae amesababisha mengi jamani, we ushaona hupendwi , si usepe uwaache? Visasi havijawahi muacha mtu salama, mi nina uhakika anaumia huko alipo kwa alivhomfanyia Bella, maana alimpemda sana
sipendwi sawa... Lakin mimi napenda na tumeishi wote tumezoeana kwa muda mrefu... Any way ni wote walikua na makosa
 
Poleeeee my dear...Kama anakuheshimu na anajiheshimu atajifunza kukupenda taratibu
 
Daah kastory flan katamu sana sijaamini nimekasoma mwa-mwi. Ila kiukweli nimejifunza kutokua na misimamo kwenye maisha kutakuingiza kwenye matatizo sana. Jitahidi kutumia akili zaidi ya hisia kila mahali
Yaaap...our girl alikua anaendeshwa na hisia sana...tooo bad
 
Poleeeee my dear...Kama anakuheshimu na anajiheshimu atajifunza kukupenda taratibu
hahah sawa lakini nilikuwa nachangia mada tu mimi sipo kwenye mahusiano namzungumzia bella The queen of the story...
 
Kumbe eeeh
hapana, ukwel ni kwamba kila mwanaume anakuwaga na tabia zake za kurithi kwa wazazi, za kupata kutokana na marafik wanaomzunguka n.k... Kwahyo hapo inaweza kuwa kwel kwa wanaume baadhi lakin wengine ukimwacha haonesh dalili yoyot kama kachukia lakin anaumia moyon2 hata ukikutana nae kama mlikua hamjuani heve, kila mtu na mishe zake, nikifka home ndio naanza kulia badae nakuja kuzoea maisha yanaendelea
 
Bora wa hivyo, Leon hafai
 
Kumbe eeeh
Ndio mamaa mwanaume hatuumizi wanawake tunaowapenda.. Leon mwanzo alisamehe kila kitu ndio mana hadi akamchumbia Bella ila Bella alivyoliwa chooni mwamba ndio akabadirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…