LOVE STORY: That Guy

Story imekaa poa. Pia haikua na arosto ya kutusubirisha sana. I don't blame Leon in anyway. As a man, najua namna alifeel kwa mliyomfanyia. Mimi ningewanyia kitu mbaya zaidi.

[emoji28][emoji28][emoji28]
Hufai ..kwaio adhabu ya Bella Kama iongezwe hivi...
 
Asante kipenzi kwa story nzuri japo sio wewe mie na maswali nanipo serious kidogo sitanii kama upo na time ni jibu nikuulize tu
 
" nachokumbuka ni mama kuniambia kua , yeye Kama mzazi anatamani kuniona niko na furaha, na pia nisiwaumize wengine wakati wa kutafuta furaha yangu,kama ni kweli niliyemchagua ni Karim, Basi nikae na Leon nimwambie ukweli kua ninampenda mtu mwingine,just release that boy Bella, alikesha nami hospitali na bado anaendelea kusumbuka na maisha yako, let him go, unamtesa kijana wa watu."

Ujumbe mzito sana wa mama naupiga na lamination
 
Just Nana bella alijisikiaje baada yakufuata dini ya kislamu. ?

Nakingine aliwezaje kushika hayo madude yakislam yote
 
Story imekaa poa. Pia haikua na arosto ya kutusubirisha sana. I don't blame Leon in anyway. As a man, najua namna alifeel kwa mliyomfanyia. Mimi ningewanyia kitu mbaya zaidi.

[emoji28][emoji28][emoji28]
Leon ana huruma sana hajawapiga matukio makubwa
 
Huyo Leon akiamua kuja hata kesho hiyo familia inavurugika tena.
Mama kopo baba mfuniko, hamna familia hapo.
 
Reactions: _ly
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…