LOVE STORY: That Guy

LOVE STORY: That Guy

Story imekaa poa. Pia haikua na arosto ya kutusubirisha sana. I don't blame Leon in anyway. As a man, najua namna alifeel kwa mliyomfanyia. Mimi ningewanyia kitu mbaya zaidi.

[emoji28][emoji28][emoji28]
Hufai ..kwaio adhabu ya Bella Kama iongezwe hivi...
 
SEHEMU YA MWISHO:

Kuna wanaume na kuna wavulana, Leon kwangu atabaki tu kua mvulana, najua nilimuumiza sana lakini pigo alilokuja kunipa lilikua zito sana, Leon alipoona simtafuti tena kwa ajili ya kupasha akaanza kupeleleza na kugundua kua nilikua rehab...hakutaka kuridhika yule mwanaume, hakukua na ushahidi wa kutosha hadi leo lakini ndani ya moyo wangu naamini kua Leon alisababisha ile ajali ya Karim.

Karim alipata ajali mbaya sana ya gari ambayo ilimuweka kitandani kwa zaidi ya miezi minne, alipoteza mguu mmoja akawekewa mguu wa bandia, nashukuru upendo wa Halima alipambana hadi Karim akapona, Kuna namna unaweza kutamani wakati urudi nyuma usahihishe makosa yako lakini wakati ni hakimu mzuri, unakuadhibu pale unapokua hauendi nao sambamba , Leon alikuja akapotea tu ghafla na hatukuwahi kumuona tena, hua naomba asije kutokea tena katika maisha yangu.

Nilipambana kupona, wanangu walikua wananihitaji...familia yangu ilikuja kufahamu niliyopitia na walikua wananipa sapoti sana, maana sharti mojawapo la kupokelewa rehab ni lazma ushirikishe familia, kupona kunaanzia ndani yako pamoja na msaada wa wanaokuzunguka, usilione tatizo lako kama ndio mwisho wa kila kitu bali ulikubali na upambane nalo.

Wazazi wangu hasa mama aliumia sana, alikua akija kuniona anajikaza asilie lakini unaona tu jinsi nilivyomuumiza , hiyo ilinipa nguvu ya kupambana nije kua mama bora kwa wanangu...mda wote huo watoto walikua kwa mama, ni kama niliivuruga hivi familia yangu kwa tamaa zangu.

That guy Karim, a man and a half, yule mwanaume alinipambania jamani, nilimuumiza sana baada ya kugundua kua nilikua namsaliti na Leon tena ashawahi kunikula mle ndani kwake, nilikua tayari hata kuachana nae kama ataona simstahili, ila alinikumbatia mnooo, akaniambia najua umekosea na najua umejifunza, Leon alikua haepukiki, adhabu yako nilitakiwa kuibeba mimi, mimi ndie nilimuumiza Leon, sikutakiwa kufanya nilichofanya pale hotelini Serengeti, nikiwa kama mwanaume nayahisi maumivu ya Leon, nimemsamhe nawe msamehe apate amani huko alipo...we are even now....

Nilitoka rehab baada ya miezi minne, nilikua nimebadilika sio tu kuacha unga, niliamua kusimama katika misingi ya dini, nilimpa Mungu maisha yangu ayaongoze, peke angu sitoweza. Nilisimama Kama mama imara, nilisimamia maadili ya dini kwa wanangu kuhakikisha wanaenda Madrasa, nikaanza kuswali na kuzingatia swala zote kwa utii kabisa, nilipata amani ya moyo na kweli nilimuona Mungu, Karim alikua amepona na maisha yaliendelea...hakua na mguu mmoja lakini alibaki kua ni mwanaume yuleyule mwenye utu na upendo uliotukuka kwa familia yake...

Mwisho...

Wasalaam...Just Nana
Asante kipenzi kwa story nzuri japo sio wewe mie na maswali nanipo serious kidogo sitanii kama upo na time ni jibu nikuulize tu
 
NAMBA TISA:

Mapenzi mapenzi mapenzi...nakuita mara tatu, kwanini umeniadhibu hivi, kwanini mimi...msomi, mrembo, niko na pesa, natoka familia decent, why mapenzi yanitese hivi, sijawahi kupata jibu walahi....

Nikawa nimepata nguvu na nilishaanza mazoezi ya hapa na pale, katika kitu sikuhitaji ni kuharibu shape yangu....nilijua ni mrembo na nilikua naona fahari Ile kuangaliwa na kupewa compliments , uko mzuri, hakuna feeling tamu ya kua mwanamke kama kujifahamu kua wewe ni mwanamke mrembo[emoji23]...ila pamoja na hayo yote moyo wa yule mwanaume Karim ulikua unakuja halafu unakataa kwangu.

Mama aliniweka kikao siku chache baada ya kupata nguvu, kile kikao si kama vikao vingine vilivyopita, ile siku yule mwanamke alikua mpole sana, na unaona maumivu yake kama mama. Alianza kwa kuniuliza Leon ni nani kwangu, nikamwambia ni mwanaume wangu wa zamani kabla sijakutana na Karim, akaniuliza pia ujauzito ni wa nani? nikamwangalia mama kwa mshangao, kwanini awaze hivyo? mi ni mchumba wa Karim official napataje ujasiri wa kubeba mimba ya mtu mwingine, nikamwambia mama ni ya Karim, you knew it from the beginning.

Mama akaniambia Bella, my beautiful girl, Karim yuko wapi hadi sasa? anafahamu kua umejifungua , nikamwambia mama anafahamu, tunawasiliana, na leo tumewasiliana, akaniambia Bella Kuna kitu unanificha mwanangu...Karim ni nani? Kwanini hajatokea katika wakati huu mgumu, vipi nisingemudu kufika mwanangu, ina maana Leon ndio angekua ndugu pekee kwa wakati huu?

Nilijikuta tu naangusha machozi, mama akaniambia kwa leo binti angu hata sitokukumbatia, nataka uniambie ukweli, nini kinaendelea na maisha yako ya mahusiano, is Karim real loves you? nikamwambia mama nisamehe tu, hatuwezi muongelea Karim...nisamehe mama, niliingia chumbani nikalia for hours, aisee nililia mnooo, nachokumbuka ni mama kuniambia kua , yeye Kama mzazi anatamani kuniona niko na furaha, na pia nisiwaumize wengine wakati wa kutafuta furaha yangu,kama ni kweli niliyemchagua ni Karim, Basi nikae na Leon nimwambie ukweli kua ninampenda mtu mwingine, just release that boy Bella, alikesha nami hospitali na bado anaendelea kusumbuka na maisha yako, let him go, unamtesa kijana wa watu.

Sio Kama sikua na ya kumwambia mama kuhusu Karim ,yalikuwepo tena mengi, ila sikuona kama ni busara maana mama angu namfahamu, angemchukia Karim na lile jambo lingefika kwa mzee kila kitu kingeishia hapo, my dad loves me walahi, sijui ni vile nilikua mtoto wa kwanza na pia nilikua wa kike pekee, sikutaka wamchukie Karim kabisaaaaa, na hapo kumbuka dogo niliyeenda nae hospitali kumfata Karim kwa mara ya kwanza hadi leo bado hajawahi mkubali Karim, kwani mashemeji mna nini jamani daaah.

Niliyabeba moyoni maumivu ya Karim, ni kama alikua amenitelekeza, nilidanganya tu kwa mama kua tunawasiliana, ila ukweli Karim hakunichek kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Nilijitahidi kujipendekeza wapii, nikamtumia picha za ultra sound ya mwisho kabla ya kujifungua lakini wapi, siku chache kabla ya kujifungua nilimtumia ujumbe kua nimebakisha siku chache sana, kama utaweza kuja nitafurahi mnoo, ule ujumbe haukujibiwa ,yaani kwa kifupi Karim ghosted me.
" nachokumbuka ni mama kuniambia kua , yeye Kama mzazi anatamani kuniona niko na furaha, na pia nisiwaumize wengine wakati wa kutafuta furaha yangu,kama ni kweli niliyemchagua ni Karim, Basi nikae na Leon nimwambie ukweli kua ninampenda mtu mwingine,just release that boy Bella, alikesha nami hospitali na bado anaendelea kusumbuka na maisha yako, let him go, unamtesa kijana wa watu."

Ujumbe mzito sana wa mama naupiga na lamination
 
Just Nana bella alijisikiaje baada yakufuata dini ya kislamu. ?

Nakingine aliwezaje kushika hayo madude yakislam yote
 
Story imekaa poa. Pia haikua na arosto ya kutusubirisha sana. I don't blame Leon in anyway. As a man, najua namna alifeel kwa mliyomfanyia. Mimi ningewanyia kitu mbaya zaidi.

[emoji28][emoji28][emoji28]
Leon ana huruma sana hajawapiga matukio makubwa
 
Huyo Leon akiamua kuja hata kesho hiyo familia inavurugika tena.
Mama kopo baba mfuniko, hamna familia hapo.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Back
Top Bottom