LOVE STORY: That Guy

LOVE STORY: That Guy

Huyo Leon akiamua kuja hata kesho hiyo familia inavurugika tena.
Mama kopo baba mfuniko, hamna familia hapo.
We sio mtu mzuri, sisi tunaombea Leon apotelee huko alipo [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
" nachokumbuka ni mama kuniambia kua , yeye Kama mzazi anatamani kuniona niko na furaha, na pia nisiwaumize wengine wakati wa kutafuta furaha yangu,kama ni kweli niliyemchagua ni Karim, Basi nikae na Leon nimwambie ukweli kua ninampenda mtu mwingine,just release that boy Bella, alikesha nami hospitali na bado anaendelea kusumbuka na maisha yako, let him go, unamtesa kijana wa watu."

Ujumbe mzito sana wa mama naupiga na lamination
Too bad Bella alikua sikio la kufa halafu na mama ake haziivagi hata[emoji847][emoji847]
 
Na pia mama alimuonya kuhusu kuruhusu urafiki wa Leon na Karim, akamuona mama wa watu mshamba wao wazungu[emoji847][emoji847]
 
@Just Nana shukrani dear,story ilikuwa tamu sana[emoji108] .
Now nasubir Godfather [emoji23]
Inshallah....acha tupambane na Al merikh kwanza, nipo natafuta kinjuka hapa mwenzio Cha kuvaa siku ya Azizi key...funguo ninayo ,kinjuka ndio changamoto, na hizi fito sasa, tukutane chamazi yoooo[emoji2957][emoji2957]
 
We sio mtu mzuri, sisi tunaombea Leon apotelee huko alipo [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Apotelee kwanini??
Kama ni true story basi wasijipost sana, jamaa akiona wana furaha atarudi tena.

Na huyo dem ambavo havai pichu lazima jamaa atamla tu. Na game itaendelea kama kawa.
 
Asante kipenzi kwa story nzuri japo sio wewe mie na maswali nanipo serious kidogo sitanii kama upo na time ni jibu nikuulize tu
Uliza nitajitahidi kadri nitakavyoweza, yatakayovuka mipaka nitayaacha mama, usiulize kuhusu id zao like alisoma shule gani, akamaliza mwaka gani, sijui alikaa mtaa gani?
 
Maana Kama umezingatia nimeyaruka hayo kwa story kulinda uhusika wao...ila Bella is much fine now, amepata mtoto mwingine hivi karibuni, she is a good mom, a good wife...amesimama kwelikweli na ametuvuta wengi kuacha u much know, she is a good person, humble and very hard working...tumuombee tu yule binaadam Leon asije kurudi maana akili ya Bella inaenda na mazingira....[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Apotelee kwanini??
Kama ni true story basi wasijipost sana, jamaa akiona wana furaha atarudi tena.

Na huyo dem ambavo havai pichu lazima jamaa atamla tu. Na game itaendelea kama kawa.
Daaah, ila she is way better now nitamshangaa akifanya ujinga...way too better, amejifunza commitment in a very hard way...
 
Just Nana bella alijisikiaje baada yakufuata dini ya kislamu. ?

Nakingine aliwezaje kushika hayo madude yakislam yote
Bella alislimu rasmi sababu ya ndoa, Kuna episode ilielezea kua Halima aliridhia Bella aolewe, Bella alifunga ndoa akiwa na watoto wawili na tayari walikua wameshaanza kuishi na Karim, kuhusu kujisikiaje naona Ni swali la kibinafsi zaidi, hilo atakua anajua yeye Bella ...ila najua kwa mara ya kwanza alifata ndoa, ila alipoamua kuifata dini rasmi ni wakati yupo rehab Zanzibar, hapo amekiri kwa last episode kua aliamua kumkabidhi Mwenyezi Mungu maisha yake alijiona peke ake hawezi kabisa, kwaio naweza mjibia kua aliamua toka moyoni, so she was happy that she found something true to rely with.
 
Kuhusu aliwezaje kufahamu kuswali rakaa na dua , ni ile nia ya dhati ya kutoka moyoni, halafu dini ya kiislamu unafundishwa kwa kiarabu na pia wanatoa tafsiri kwa lugha unayoimudu, Kuna Quran version ya kiingereza, she was using that, Bella yupo fluent in English kuliko kiswahili, nadhani ni sababu ya shule alizosoma na mazingira ya kazi mda mwingi kudeal na westeners plus kuishi sana SA
 
ngoja nisome hichi kiporo chako, naona watu wanasisimka itakua erotic😋
 
Apotelee kwanini??
Kama ni true story basi wasijipost sana, jamaa akiona wana furaha atarudi tena.

Na huyo dem ambavo havai pichu lazima jamaa atamla tu. Na game itaendelea kama kawa.
Bella hatumii social media yoyote kwa sasa zaidi ya WhatsApp, hana kwanza huo mda, ratiba take ipo fixed balaa...yaani huyo Leon kumpata Bella labda aje nayeye asomee ushehe[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Inshallah....acha tupambane na Al merikh kwanza, nipo natafuta kinjuka hapa mwenzio Cha kuvaa siku ya Azizi key...funguo ninayo ,kinjuka ndio changamoto, na hizi fito sasa, tukutane chamazi yoooo[emoji2957][emoji2957]
We endelea kutupagawisha tu hadi siku ya el mereik untaka kufanya jambo
 
Inshallah....acha tupambane na Al merikh kwanza, nipo natafuta kinjuka hapa mwenzio Cha kuvaa siku ya Azizi key...funguo ninayo ,kinjuka ndio changamoto, na hizi fito sasa, tukutane chamazi yoooo[emoji2957][emoji2957]
Weweeee hahaa kinjuka jamani,natama na mmimi niende huko ila dah basi .All the best dear unitumie na pic nione kinjuka kimekaaje[emoji8][emoji108]
 
Bella alislimu rasmi sababu ya ndoa, Kuna episode ilielezea kua Halima aliridhia Bella aolewe, Bella alifunga ndoa akiwa na watoto wawili na tayari walikua wameshaanza kuishi na Karim, kuhusu kujisikiaje naona Ni swali la kibinafsi zaidi, hilo atakua anajua yeye Bella ...ila najua kwa mara ya kwanza alifata ndoa, ila alipoamua kuifata dini rasmi ni wakati yupo rehab Zanzibar, hapo amekiri kwa last episode kua aliamua kumkabidhi Mwenyezi Mungu maisha yake alijiona peke ake hawezi kabisa, kwaio naweza mjibia kua aliamua toka moyoni, so she was happy that she found something true to rely with.
basi msingi wake umejengwa kwenye mchanga!
we ALL KNOW kwamba the only Rock to rely on IS Christ, mengine huwa ni mbwembwe, mvua zikinyesha, pepo zikavuma nyumba hudondoka!
 
Weweeee hahaa kinjuka jamani,natama na mmimi niende huko ila dah basi .All the best dear unitumie na pic nione kinjuka kimekaaje[emoji8][emoji108]
Hapo kwenye pic Sasa ndio changamoto inapoanzia[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom