LOVE STORY: That Guy

LOVE STORY: That Guy

Ndio mamaa mwanaume hatuumizi wanawake tunaowapenda.. Leon mwanzo alisamehe kila kitu ndio mana hadi akamchumbia Bella ila Bella alivyoliwa chooni mwamba ndio akabadirika.
Bado aliendelea kumpenda, ila walivyorudi SA baada ya kutoka Serengeti Bella akamfungukia kua anataka kurudi Bongo, ndio mwamba akaamua kuvunja ukimya, kwaio sumu ilizaliwa hapo, kwamba mekupa kila kitu, I was there where you needed a friend and company, and yet you left me and go back to the very same person who caused you so much pain...
 
Sema madem mnaojiita nana mnakuaga pisi balaa, natamani tuanzishe story yetu na sisi.
 
Nchi ya vijana wanaowaza ngono na puli tu. Asante Sa100 kwa bandari na ngorongoro, asante kwa polisi wanao nisaidia kuondoa wavamizi wa kimaasai kwenye eneo langu.
Ila we jamaaa ni fala sana ujue nasoma post yako na kucheka mwenyewe kwa takribani dakika 5 mfululizo.
 
SEHEMU YA MWISHO:

Kuna wanaume na kuna wavulana, Leon kwangu atabaki tu kua mvulana, najua nilimuumiza sana lakini pigo alilokuja kunipa lilikua zito sana, Leon alipoona simtafuti tena kwa ajili ya kupasha akaanza kupeleleza na kugundua kua nilikua rehab...hakutaka kuridhika yule mwanaume, hakukua na ushahidi wa kutosha hadi leo lakini ndani ya moyo wangu naamini kua Leon alisababisha ile ajali ya Karim.

Karim alipata ajali mbaya sana ya gari ambayo ilimuweka kitandani kwa zaidi ya miezi minne, alipoteza mguu mmoja akawekewa mguu wa bandia, nashukuru upendo wa Halima alipambana hadi Karim akapona, Kuna namna unaweza kutamani wakati urudi nyuma usahihishe makosa yako lakini wakati ni hakimu mzuri, unakuadhibu pale unapokua hauendi nao sambamba , Leon alikuja akapotea tu ghafla na hatukuwahi kumuona tena, hua naomba asije kutokea tena katika maisha yangu.

Nilipambana kupona, wanangu walikua wananihitaji...familia yangu ilikuja kufahamu niliyopitia na walikua wananipa sapoti sana, maana sharti mojawapo la kupokelewa rehab ni lazma ushirikishe familia, kupona kunaanzia ndani yako pamoja na msaada wa wanaokuzunguka, usilione tatizo lako kama ndio mwisho wa kila kitu bali ulikubali na upambane nalo.

Wazazi wangu hasa mama aliumia sana, alikua akija kuniona anajikaza asilie lakini unaona tu jinsi nilivyomuumiza , hiyo ilinipa nguvu ya kupambana nije kua mama bora kwa wanangu...mda wote huo watoto walikua kwa mama, ni kama niliivuruga hivi familia yangu kwa tamaa zangu.

That guy Karim, a man and a half, yule mwanaume alinipambania jamani, nilimuumiza sana baada ya kugundua kua nilikua namsaliti na Leon tena ashawahi kunikula mle ndani kwake, nilikua tayari hata kuachana nae kama ataona simstahili, ila alinikumbatia mnooo, akaniambia najua umekosea na najua umejifunza, Leon alikua haepukiki, adhabu yako nilitakiwa kuibeba mimi, mimi ndie nilimuumiza Leon, sikutakiwa kufanya nilichofanya pale hotelini Serengeti, nikiwa kama mwanaume nayahisi maumivu ya Leon, nimemsamhe nawe msamehe apate amani huko alipo...we are even now....

Nilitoka rehab baada ya miezi minne, nilikua nimebadilika sio tu kuacha unga, niliamua kusimama katika misingi ya dini, nilimpa Mungu maisha yangu ayaongoze, peke angu sitoweza. Nilisimama Kama mama imara, nilisimamia maadili ya dini kwa wanangu kuhakikisha wanaenda Madrasa, nikaanza kuswali na kuzingatia swala zote kwa utii kabisa, nilipata amani ya moyo na kweli nilimuona Mungu, Karim alikua amepona na maisha yaliendelea...hakua na mguu mmoja lakini alibaki kua ni mwanaume yuleyule mwenye utu na upendo uliotukuka kwa familia yake...

Mwisho...

Wasalaam...Just Nana
Kashakuwa chiba hapo zile show za kibabe zimebaki story.
 
The Godfather imesonga wajameni...mkamcheki Nana kwa actions stories, humo Mambo ya Bella na Karim hamna , ngumu kumeza...
 
The Godfather imesonga wajameni...mkamcheki Nana kwa actions stories, humo Mambo ya Bella na Karim hamna , ngumu kumeza...
Kama kawaida hizo ndo stories sasa umetisha baraaaa tuko pamokooo
 
NA HII NI NAMBA TANO;

Siku moja kabla ya safari nilijipa ujasiri wa kumtext bwana Karimu...niliandika nikafuta, niliandika nikafuta, ilibidi niandike nikiwa nimezima data ili asije akawa online akaona jinsi natumia nusu saa kuandika single text, finally nikapata cha kuandika ...

'Karim ... nimekutana na wewe katika ugonjwa ila nadhani natakiwa kushukuru kua niliugua, zilikua ni siku tatu njema katika maisha ya usichana wangu...one of my best days...sina mda zaidi maana kesho nasafiri kurudi SA...ila ningependa japo niione sura yako, najua upo na mambo mengi lakini naomba uzingatie ombi langu, nina mengi ya kuongea nawe, zaidi, nikutakie kila lenye kheri katika majukumu yako, am flying tomorrow...pease see me !

Nilihakiki ule ujumbe kama mara tatu hivi, mara niweke koma mara nitoe , ili mradi tafrani...mwisho nikaona huu ufala, nikawasha data nikautuma... I prayed for blue tick, nilijisumbua tu bure kuzima data, that guy alikua off line daah[emoji27][emoji27][emoji27]....

Sikua na namna nilifanya maandalizi yangu ya mwisho ya safari, usiku tukalala, alfajiri na mapema nikawa zangu airport mimi na familia kwa ajili ya safari ya kurudi SA. Mara zote hua nakua nafuraha ikifika mda wa kusafiri maana kukaa nyumba moja na mama angu yahitaji uwe na degree ya uvumilivu, ila leo ni kama nilikua naomba ndege ipate hitilafu nisisafiri daaah...

Sijui hata ilikuaje nikasema niangalie watsaap kwa mara ya mwisho kabla sijangia ndani ya uwanja, lahaula...nikakuta nimejibiwa jamani doooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...akaniuliza unaondoka na ndege ya saa ngapi? nilianza kuhaha pale, maana nilikua nimechelewa dakika kadhaa, I had to check inn, na wakati huohuo nataka kuchart na Karim, nikasema acha nifanye pata potea tuu, nikamtext chap, nipo Airport time hii, naondoka soon...nitakuchek nikifika SA...

Nikawaaga familia, sijui hata niliipata wapi nguvu, nikabeba mizigo yangu nikaingia ndani chap, nikachek inn na kupanda kwa ndege, I landed at O.R Tambo Int. Airport safely that day, baada ya kutulia na kumalizana na familia ilibidi nimchek Karim kua nimefika niko poa na mambo zingine... we had several conversations and yes I had to say the words , kijana unanimaliza...I confessed my feelings to him, alichonijibu ni kua anajua tangu nimemfata hospitali na dogo kua niko na feelings kwake, ila as a man hakutaka kuniumiza, ana mchumba na anamuheshimu sana.

Yaani tu kwa kifupi, mwanaume niliempenda like crazy was someone's else's fiancee...aisee ,lile jibu ni kama kisu kilikata hivi, akaniuliza are you there Bella, hata sikujibu nikatoka online...days went by, hio siku nikaona ni ujinga tu maana nilikua memblock baada ya kunijibu vile , nikamtoa kwa block nikamtumia text chache kua nitakua a secret lover, naomba nipe nafasi, I love you madly, nipe tu nafasi nikiona nimeshindwa nitaacha mwenyewe.

Sio Kama sikua na boyfriend , I had a guy from France alikua akiitwa Leon ( si jina halisi) , yule kaka alikua ananipenda sana, nilishatambulishwa hadi kwao, ilibaki kwa Leon kuja kwetu, hadi dakika hiyo Leon sikua nimeonana nae, nina wiki SA lakini namkwepa , kila akinichek namkwepa, Leon is very understanding, nilimwambia tu nipo biz nabanwa na mambo ya kazi , si anajua nimetoka likizo wala hakua na shida.

Baada ya kumsumbua sana Karim akanambia okey, unatakaje Bella? nikamwambia just give me a chance, nitamuheshimu mwanamke wako, I promise...so yakaanza mapenzi pale, I never been happy like that, that guy knows how to treat a woman, so loving, so caring, just imagine wagonjwa tunahudumiwa vile, mwanamke wake je? ndugu enu nikazidi kufall deeper and deeper.

Leon aliona mabadiliko yangu, akawa anauliza ila namkwepa, tukisex I don't feel it...inabidi nimvutie picha Karim just to feel Leon, ila sikuweza kumuacha Leon maana najua Karim alikua ni kwa mda , I just borrowed him. Tukaarange na Karim tukutane Kenya, niliomba likizo ya wiki moja job, Karim hakua amechukua likizo mda mrefu kwaio aliomba likizo kubwa, we spent that week like Honeymooners, we had lots of fun, his sex was magic daamn , it was so good...
I know you did your studies in SA, but mis-spelling is common even to English fluent native speakers, let Alone those who acquired it as a second language through learning. With all due to respect, and for the benefits of all others I would like to make some critique. The above bolded coloured red words is mis-spelled, I assume surely you wanted to stay chat and not chart.
chart = A sheet of information in term of graph, table or diagram.
chat = 1. As verb, talking in a friendly and informal way.
2. As Noun, an informal conversation.
I have to write this since a lot of people tend to mis-use the two.
However your story is sweet and interesting.
I HAD TO WRITE THIS
 
Back
Top Bottom