Kichwa Kichafu unaitwa huku
Sawa, karibu ukae kwenye jamvi hapo kibarazaniNjooo nimekukumbuka na avatar yako ya miaka yote
Ahsante, vip mbona avatar yko na ya mwifa zinafanana nini kinaendelea?
Kabadilisha huyo fasta baadavyakusikia nimerudi
TotallyAaaah jamani umeusoma uzi uksuelewaaa?