bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,146
Kazaliwa upya!Naona Umebadili Jina ushazalishwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazaliwa upya!Naona Umebadili Jina ushazalishwa?
Umeambiwa uende, kwahiyo utakaribishwa wewe au!Sawa, karibu ukae kwenye jamvi hapo kibarazani
Atakayefika wa kwanza atamkaribisha mwenzioUmeambiwa uende, kwahiyo utakaribishwa wewe au!
Thanks a lot rafiki. Ndio nimeadimika kwa mbaaali rafiki 😜😜 si wajua tena kuna muda mambo yanakuwa mengi.Miss you more rafiki nawe dizain umeadimika mi mzima kabisa hofu ni kwako ulie mbali rafiki...
cc Smart911
Ilipotea ninayompya
Nitumie PM aiseeIlipotea ninayompya
Indeed ndiyo nini?? Au ndiyo meniita
Hv Jolie Jolie na yule babe wake wamepotelea wapi au new idTulikumiss pia Jo [emoji8][emoji8] karibu tena ufanye uje jukwaa la mastory sijui utaanza ipii uache ipiii mambo ni [emoji91][emoji91]
Ukinikumbuka uniite[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Karibu sana, nilifikiri Mod wamekupompeo
Hapana kuna vitu vilinibana kwahiyo nikashindwa kuingiaa vipi lkn mzm?Karibu sana, nilifikiri Mod wamekupompeo