Lovely mum a.k.a jovitha is back

Lovely mum a.k.a jovitha is back

Status
Not open for further replies.
Habari zenyu wadau wa jf lounge m ninewamis mnooo...

Poleni na naswahibu yaliyo ikuta app yetu pendwaa... wale wakongwe wa jf mupooo akina sakayo na wenzio @emmyta
Shunie
Numbisa
Kichwa kichafu
Kisu cha ngariba
Daby
Gluck

Na wengineee wooote wapya nawazani niliyo wasahau.

I LOVE YOU.
Na wewe ni mkongwe humu?
 
Karibu sana Kamadogo kangu. Tupo mwaya tunapambana na hali zetu tu huku.

Yaani ni mwendo wa kukimbizana tu. Mzima lakini wewe?
Niko byeee kabisa kuwamis tyuu ndiyo kumenielemea
 
Tulikumiss pia Jo [emoji8][emoji8] karibu tena ufanye uje jukwaa la mastory sijui utaanza ipii uache ipiii mambo ni [emoji91][emoji91]
Jamaniii nakujaaaa my dear ila kuna mambo nataka niweke sawa by wiki ijayo ndiyo nitakuwa nashinda hukoo kutwa nzima.....hivi ANGA LA WASHENZI steve ALIKUJA KUMALIZIAAA?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom