Loveness Love a.k.a Diva wa Clouds FM abadili jina, sasa anaitwa....

Loveness Love a.k.a Diva wa Clouds FM abadili jina, sasa anaitwa....

Duh vituko at work
Anatumia nguvu nyingi kwenye upuuzi
 
Hizo dharau.. huyu dada ana dharau wazazi wake kabisa.. haiwezekani wazaz wako wakupe jina tena jina zuri kabisa LOVENESS ikimaanisha UPENDO wa dhati waliokuwa nao juu yako.. halaf mjinga mmoja sijui kala maharage ya wapi huyu, analibadilisha kirahis rahis hivi .. jingaaa kabisa.. huyu si mfano wa kuingwa
 
Na huwa hapendi hata kabila lake la baba sijui muhaya anapenda atambulike zaidi ni mtoto wa Tanga
 
Mbona Kiongozi mkuu wa act naye alitaka kumuoa lakini akazidiwa kete na GK?

Teheee tehee kiongozo mkuu wa ACT aliingia chaka dizaini wadau wakamsanua ndio akambwaga lakini kabla ya GK uyu binti alikaza kwenye media kua Mzito ni mumewe,lile bomu mpwa yule GK lazima aende peponi kwa kuishi na kiumbe yule.
 
Huyu mwanamke anajiedit jamani acha tu!
Kuna siku nilikutana naye coco beach kavaa kipensi na sendo huko miguuni mchafu balaa.

Mmh!!! nifah umemkaziaaa 😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,ujue yote hii ni kuutaka umaarufu tu.Diva anapenda umaarufu sana.
Hivi ile mimba yake iliishia wapi? Mana kipindi kile ndio nilikua naipenda insta basi vituko haviishi.Mara katunguliwa mapera na GK mara wanaenda kula urojo.. warumi unajua hili?

mimba iliharibika/ilitoka ikiwa na 5mnths tena ilikua ya mapacha
 
Last edited by a moderator:
mimba iliharibika/ilitoka ikiwa na 5mnths tena ilikua ya mapacha

Ohooo! Nimeshakumbuka aliweka na hadi picha ya ultra sound sijui akaandika maneno mazito kwelikweli!
Ila mbona kama ilikua kabla ya kua na GK jamani Evelyn Salt? Hebu kumbuka vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wake GK......... akili 0 wote.
 
Back
Top Bottom