swit sasha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 270
- 206
Hivi Diva Vs Shilole yupi angalau anaakili?
Mh..ngoma droo hamna mwenye afadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Diva Vs Shilole yupi angalau anaakili?
kwenye picha uwa anaonekana mzuri,lakin ukimuona live ni tofaut na picha tunazoona
Hizo dharau.. huyu dada ana dharau wazazi wake kabisa.. haiwezekani wazaz wako wakupe jina tena jina zuri kabisa LOVENESS ikimaanisha UPENDO wa dhati waliokuwa nao juu yako.. halaf mjinga mmoja sijui kala maharage ya wapi huyu, analibadilisha kirahis rahis hivi .. jingaaa kabisa.. huyu si mfano wa kuingwa
Mbona Kiongozi mkuu wa act naye alitaka kumuoa lakini akazidiwa kete na GK?
Mimi namuonaga kama hana akili nzuri vile? Mambo anayofanya insta ni zaidi ya kichaa.
Mbona Kiongozi mkuu wa act naye alitaka kumuoa lakini akazidiwa kete na GK?
Huyu mwanamke anajiedit jamani acha tu!
Kuna siku nilikutana naye coco beach kavaa kipensi na sendo huko miguuni mchafu balaa.
Anayemjua nani??Nini Giselle hata akijiita kabasele
anamzidi le mutuz?.. au waoane kabisa manake wako equal..
Huyu mwanamke anajiedit jamani acha tu!
Kuna siku nilikutana naye coco beach kavaa kipensi na sendo huko miguuni mchafu balaa.
Hahahaaa,ujue yote hii ni kuutaka umaarufu tu.Diva anapenda umaarufu sana.
Hivi ile mimba yake iliishia wapi? Mana kipindi kile ndio nilikua naipenda insta basi vituko haviishi.Mara katunguliwa mapera na GK mara wanaenda kula urojo.. warumi unajua hili?
mimba iliharibika/ilitoka ikiwa na 5mnths tena ilikua ya mapacha
Yan si 360 yake ni 36000