Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Hapa kuna vitu viwil kuongea na kutekeleza kile unachoongea div ni muongeaji ila kwenye utekelezaji ni ziro na ndo maana anaachika na mara nyingi watu wanaopenda kuongea kitu sana huwa kukitekeleza hawawezi kabisa
Kwa hiyo hapa kazi hawezi kutekeleza nawaza tu[emoji3] [emoji3]
 
Mauno ya kwenye ngoma na kwenye 6/6 vitu viwili Tofauti.
 
watanzania kwa maneno utawaweza? lakin vitendo sifuri..hata sishangai..mapenzi yenyewe ya mwendo kasi haya! wataachika sana
 
Diva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
Umenikumbusha cabbage.... Kesho itabidi niisake nina muda nayo kweli
 
Mnamaanisha KWA DIVA HAKUNAGA USHEMEJI!
 
Mnamaanisha KWA DIVA HAKUNAGA USHEMEJI!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kaka nimekumiss ujue?Acha hizo...
Fanya kunimalizia ule ubuyu [emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…