Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,233
Reaction score
8,022
Huwa namsikiliza mno kwenye kipindi chake cha Ala za Roho. Hapa ukimsikiliza anaonekana ni mjuvi mzuri wa haya mambo ya mapenzi, sasaaaa kwa nini mastori mingi kwenye media na mahusiano mara huyu mara yule aseee... Au ndio ile ile Gari isiyokuwa na mzigo hukimbia zaidi. Mapenzi ni noma mno, yaani pamoja na haya yoooote huyu dada amawahi kumwagwa, zaidi ya mara tano?

Kwanini aachwe na ujuzi wote huo?
 
Uanamke hauishii tu kwenye vurugu za kitandani na....kwani hiyo ni sehemu ndogo sana ya maisha ya kimahusiano ingawa nafasi yake kubwa.....uanamke unakamilishwa na yeye mwanamke kutambua na kuyatekeleza majukumu yake na kujua nafasi yake mbele ya macho ya mwanamume.......

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alipotuletea wasaidizi sio kwa ajili ya mahaba pekee bali katika hali zote za maisha yetu na wandani wetu.........

Kupungukiwa na sifa moja kati ya hizo kunawafanya maisha ya kwenye mahusiano yasiwe ya kawaida bali ya kuvumiliana tu......

Kwa mfano pamoja na ulimbwende lakini sidhani kama kuna mwanaume mwenye ujasiri wa kumuoa mwanamke mchafu........??!!!

KIZURI HAKIKOSI KASORO.....
 
Anaweza kuwa mjuzi mzuri kutom...bana lakini sekta zingine akafeli mfano usafi,ukarimu,uelewa,kujali n.k ni mtazamo wangu tu lakini

!
!
Au ukute maneno miiingi kwa bed ni empty.... Maana daah kaachika mno, mra gk mara quick raka, mara prezoo daah
 
kama siyo chako lazma mwisho wa siku kitengane na wewe.
 
Back
Top Bottom