Low income areas in Dar es Salaam "" Slums""

Low income areas in Dar es Salaam "" Slums""

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617


Hii video inaonyesha mazingira ya watu masikini sawa na Kibera kule Kenya, bado Tanzania ni masikini kama ilivyo Kenya na nchi zingine za Afrika.

Kuna tofauti kubwa sana ya mazingira ya masikini wanaoishi Dar, na masikini wanaoishi Nairobi, hasa katika upande wa nyumba, "Sanitation" na upatikanaji wa maji na chakula.
 
nawaona wale jamaa wanaobishanaga kuhusu kenya na tanzania wakijaa hapa na uhalo wao
 
Ingependeza zaidi wangebishana katika maendeleo yao binafsi.

Unaweza kujitapa nchi yako tajiri, wakati mtu unayejitapa masikini kabisa.

Na mwingine yupo nchi masikini, lakini ana uwezo mkubwa sana.
Nonsense.

The issue in dispute is Tanzania & Kenya, not individuals.

Kenya is the next level compared to Tanzania.
 
Hiyo Ishu hata south kuna maeneo Watu wanaishi Kwenye shacks!
 
Back
Top Bottom